Nzuriiii mkuuMme mwee, za usubuhi
Ndio nini binamu jamanGeisha ni nzuri?
...hili roboti wamelifundisha na styles? Na mambo ya kiutamaduni, you know warraimean , shanga na mikatiko ya wana Katitu boys





Kila mtu apambane na hali yakeSi nilikuambia nitafutie ukapotezea..
Shemela jaman au sio cuzoo
Asante Shululu, jpili njema na kwako piaView attachment 553923Kutoka Meza ya magazeti sina la ziada tukutane tena kesho,
Jumapili njema
Halaf binamu kweli nimeamini maneno ya baba d ulitekwa nimechagua nyimbo jana hujaona au vipiNiwie radhi mdau wa nguvu, niko nimejiteka sehemu ila tuombe inshaallah asubuhi nitakumbuka.
Usiku mwema
Binamu obe anao wanawake hilo robot halimfaiHmm nimeshaogopa.... Nasikia umeme ukikatika linanganganialinamfaa binamu yako Obe... Aongezee tu...... Kwanza na uzee nilishastaafu.