Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Ndio mkuu
Ndio mkuu
Uzur wewe kwenye list ni wa piliiiBinamu obe hana mke mmoja kuna mama ashura kuna yule mpika chapati kuna muuza supu kuna yule bonge kabisa kiuno hakijulikani mgongo haujulikani kazi kwako usiye na hata mmoja
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Umenifurahisha baba d ukiiweka jioni
Kumbe usingizi ulikuja kiukweli
Mama k mzma??[emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Mondray asanteeee hao machangudoa sijui ndio vumbi la congo hilo walikutana nalo aisee
Tupo pamoja mkuuWale wapenzi wa isidingo. ...aka simulizi tufatane kumfukunyua mr x na mbishe zake
Amen[emoji524] Usijisifu kwa ajili ya kesho kwa maana hujui yakatayozaliwa na siku moja
Mwingine na akusifu wala si kinywa chako mwenyewe mtu mgeni wala si midomo yako wewe [emoji524]
MITHALI:27:1:2
Mbarikiwe sana muwe na jumapili njema na asubuhi njema [emoji120] [emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23]Baba D simu si ulikua nayo wewe na ndio uliandika kuhusu binamuUzur wewe kwenye list ni wa piliii
Bado umelala blanket vipiii[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Wa kutoshaaa
Mama k [emoji15]Mama k mzma??
Mkushi ujue nimezoea ile avatar yako ya mwanzoAmen
Kununua nini mjukuu wangu?basi hata kwa kununua babu
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Bado umelala blanket vipiii
Lakini mimi sijamsema vibaya... Namtakia Heri tu... Unajua Obe Rafiki yangu sana [emoji2]copy ya list ya binamu obe ya watu wanaomsema vibaya
Kwani watoto wao wanaitwajeeeMama k [emoji15]
Sio kwa Wajukuu wote hawa nilio nao.. Mimi kazi kununua mifuko ya pipi tu.... Najua Wajukuu hawatacheza mbali [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]basi hata kwa kununua babu
Ni jj Baba DKwani watoto wao wanaitwajeee
SawaKununua nini mjukuu wangu?
Sio kwa Wajukuu wote hawa nilio nao.. Mimi kazi kununua mifuko ya pipi tu.... Najua Wajukuu hawatacheza mbali [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kwani hao wa kweliiiiNi jj Baba D