Makapuku Forum

Makapuku Forum

Aweke akiba tu manake mke mwenyewe haaminiki... Usishangae ukasikia leo yuko kwa Bitoz kufuata handbag yake [emoji3][emoji3][emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Binamu obe hana mke mmoja kuna mama ashura kuna yule mpika chapati kuna muuza supu kuna yule bonge kabisa kiuno hakijulikani mgongo haujulikani kazi kwako usiye na hata mmoja
 
[emoji524] Usijisifu kwa ajili ya kesho kwa maana hujui yakatayozaliwa na siku moja

Mwingine na akusifu wala si kinywa chako mwenyewe mtu mgeni wala si midomo yako wewe [emoji524]

MITHALI:27:1:2

Mbarikiwe sana muwe na jumapili njema na asubuhi njema [emoji120] [emoji7]
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom