Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji524] Usijisifu kwa ajili ya kesho kwa maana hujui yakatayozaliwa na siku moja

Mwingine na akusifu wala si kinywa chako mwenyewe mtu mgeni wala si midomo yako wewe [emoji524]

MITHALI:27:1:2

Mbarikiwe sana muwe na jumapili njema na asubuhi njema [emoji120] [emoji7]
 
Story ya leo inasikitisha sana aisee yaan nawaza tu apa muendelezo wa kesho halaf huyu babu bubu wanawake wote sio wauaji bana wasemee wako uliokutana nao huko ndio wauaji

Baba D asante sana kwa story jaman
Kwa heshima yako kipenzii cha rohoooo

Naiwekaaa leo jioniiiiii...

Ndo naamkaa [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Back
Top Bottom