shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Saluti ya nazi![]()
Yeye na Adolf Hitler walikuwa maswahiba waliotukuka![]()
Wote walifariki mwaka 1945 baada ya kushindwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia
Mussolin alikuwa na miaka 61
....
Saluti ya nazi![]()
Yeye na Adolf Hitler walikuwa maswahiba waliotukuka![]()
Wote walifariki mwaka 1945 baada ya kushindwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia
Mussolin alikuwa na miaka 61
....
Fanta fruitoNimeokoa jamaan shemela sasa hivi nakunywa soda tu
Soda ya Tanga anjariNimeokoa jamaan shemela sasa hivi nakunywa soda tu
Tangu mtandikwe na Bayern umekimbia jukwaa kama mbio za HazardNawasalimu tu kwa jina la alie juu hamjambo habari ya asubuhi wanajukwaa
Leo katika Historia
1963 - Jim Beglin anazaliwa.Ni mtangazaji na mchambuzi maarufu sana wa mpira hasa Ligi kuu ya England.
Mhenga aliyesema ndoa ndoano hakukosea





na ukitaka kuiona ndoano mpaka uingie aisee wahenga waliona mbali sana na misemo yao
Hapana fanta orange shemela ndio kinywaji changuFanta fruito
Leo katika Historia
1963 - Graham Poll anazaliwa.
Ni mwamuzi wa soka wa zamani toka nchini England.
SwaafkabisaPouwah za wewe
Shikamo asante hadithiNakuonaaa nakuonaaa. ..mpendwa mchepuko wa binamu
Mama jj jamaan miss uShikamo asante hadithi
Halaf usimzeeshe Baba D wangu mke mwee hiyo shikamoo haelewani nayo kabisaShikamo asante hadithi
Tupo poa mke mwee jaman nilikumiss tu mimi mpendwa wa binamu anataka kuleta story mpya kaona we haupo kasusa etiAaaah huyu mr.x mbona antusumbua akili hivi,
Hbr ya asubuhi wapendwa hope mko wazima
Hbr ya asubuhi mke mweeeNawaza tu hapa huyu mwanamke anaevaa nikabu anaweza kuwa dr asha baba d asante sana story ndefu mpaka raha