Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
AiseeeeNdioo kwani wewe na neema wa tandika nan alikuwa wa kwanzaa
AiseeeeNdioo kwani wewe na neema wa tandika nan alikuwa wa kwanzaa
Mbona unakimbia tena kuna nini pedeshee wa nini etiNiko poaaaa pedeshee hapa ....
![]()
![]()
![]()
![]()
Pouwah za weweHabari za week end
Mabibi na mabwana
Wake kwa waume
Wakubwa kwa wadogo
Nafikiri mmeamka salama
Niwatakie week end njema
.....
Yote yake shemelaNi Davy
David
Au Daudi![]()
![]()
![]()
![]()
BarikiwaAhsante mdau
Kwa neno la uzima
...
Mornie cuzooMorning all
Kuna kitu kasahau bungen LabdaBabu Wassira ni mfano tu wa ving'ang'anizi wa madaraka
Kasinzia bungeni kama miaka 20 hajaridhika
Halafu vijana mjiajiri
....
MornnMorning all
AsanteeHabari za jumamosi kf na karibuni sana kwenye leo katika historia
Tata sio Mhindi wa India. Hebu hakikisha vizuri sanaLeo katika Historia
1904 - J.R.D. Tata anazaliwa.
Ni mfanyabiashara mashuhuri wa Kifaransa aliyeanzisha kampuni ya magari ya Tata.