shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
RIP ChristianLeo katika Historia
2013 - Christian Benitez " Chucho" anafariki Dunia.
Ni mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ecuador.
RIP ChristianLeo katika Historia
2013 - Christian Benitez " Chucho" anafariki Dunia.
Ni mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ecuador.
Leo katika Historia
1967 - Kunatokea tetemeko la ardhi ambalo linasababisha watu takribani 400 kupoteza maisha huko Caracas, nchini Venezuela.
Wote sijawahi hata kuwafatiliaMichael Schumacher
Fernando Alonso
Na Montoya
Ni madreva naowakubali sana
Maafa makubwa sana![]()
![]()
![]()
Lilikuwa na Maginitudo 6.5 Ms
....
Si ndio nakufundisha? Glass moja kwa afyaUjue me sio mpenzi sana wa wine cuzoo jamaan
Hahahahaha hapa sasa alitishaAliwahi kumpa mchezaji kadi mbili za njano kwenye mechi moja, cha ajabu alisahau kumpa red card
Sawa cuzooSi ndio nakufundisha? Glass moja kwa afya
Asante ankali kwa historia bora kabisaNa kufikia hapo basi sina budi kukusanya kila kilicho changu katika meza hii ya historia
Kwa udhamini mnono kabisa wa Ximena's red wine![]()
week end yako itakuwa murua ikiwa utakuwa utajipatia wine hii nzuri kabisa ambayo inapatikana katika ladha mbili sweet red na dry red ikiwa imesindikwa kwa ustadi wa hali ya juu kwa kutumia zabibu halisi....
Niite Jimena Jimenes nawatakia week end njema na msiache kunipa order sasa ili mjipatie wine hii
Yaan shemela hapo kama nakuona jamaan unavyocheka umefurahiiii
Leo katika Historia
1883 - Benitto Mussolini anazaliwa.
Ni dikteta aliyeitawala Italy kama Waziri Mkuu wa nchi hiyo.
Tuko poaNawasalimu tu kwa jina la alie juu hamjambo habari ya asubuhi wanajukwaa
KaribuAsante ankali kwa historia bora kabisa
Kwa mujibu wako, kwa mujibu wa RITA hao ni watu wawili tofautiHivi daud si kwa kiswahili na davie ni kwa english kama vile mary na maria
Halafu walikuwa wana sura za kikauzu![]()
Yeye na Adolf Hitler walikuwa maswahiba waliotukuka![]()
Wote walifariki mwaka 1945 baada ya kushindwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia
Mussolin alikuwa na miaka 61
....
Heineken jeUjue me sio mpenzi sana wa wine cuzoo jamaan
Bas sawa ila me najua hivyo jamanKwa mujibu wako, kwa mujibu wa RITA hao ni watu wawili tofauti
Nimeokoa jamaan shemela sasa hivi nakunywa soda tuHeineken je
Leo katika Historia
1904 - J.R.D. Tata anazaliwa.
Ni mfanyabiashara mashuhuri wa Kihindi aliyeanzisha kampuni ya magari ya Tata.
Mhenga aliyesema ndoa ndoano hakukoseaYaan shemela hapo kama nakuona jamaan unavyocheka umefurahiiii