Kuna zege tena!!!.....mpendwa wangu ni exceptional case yaani yake ni tofauti na utofauti huo ndo naoupenda, na analijua hilo.
Halafu umejuaje hayo kuwa ni magumu? Sidiria hazina waya tena zinawekwa nondo za kusimamishia nguzo, ugumu lazima uonekane
AmenNimekukimbilia wewe Bwana nisiaibike milele kwa haki yako uniponye
Unitegee sikio lako, uniokoe hima uwe kwangu mwamba wa nguvu, nyumba yenye maboma ya kuniokoa
Ndiwe genge langu na ngome yangu, kwa ajili ya jina lako uniongoze, unichunguze
ZABURI:31:1:3
Muwe na usiku mwema mlindwe na damu ya Yesu kristo
Duh anayaweza aisee3/Corazon Kqamboka
Amezaliwa mwaka 1993 hapo ukivuka border la Kilimanjaro kwa wale jamaa wanaodai Mlima Kilimanjaro ni wa kwao
Huyu ni binti wa Kikenya
Ni mwanasheria ila ikumbukwe kila Wakili ni mwanasheria ila siyo kila mwanasheria ni wakili
Pia kuna wanasheria ngazi ya cheti,Stashahada na sjahada
anayechuana na Vera Sidika
.................
Ujue mpendwa wa binamu navuta tu picha ya mama ashura ni bonge sana halaf maziwa hayooo nyuma pasi kiuno na mganga vyote havijulikani woiiii
Nilijua tu leo kitu kutokea hukoMuziki: Uji Sio Supu ya Ugali
Kama hujawahi kujua hili lijue leo maana hata mimi silijui, kumbe siku zina harufu na kiukweli harufu ya Ijumaa ni tofauti na siku nyingine kama Jumatatu. Ijumaa huwa inanukia kama uvumba na manemane na ina ladha ya emebe mawazo huku jumatatu huwa na harufu ya pilipili kichaa na ndo maana hakuna mtoko wa Jumatatu, sijui. ninakusalimia Kapuku muheshimika, u khali gani! niko poa sana na furahiday ndo hii, take it easy and don't work hard kesho. Kwa wale wenye zamu ya kutumika kimwili basi weekend ndo hii, kazaneni sana maana mwili usipotumika utakuwa bored.
Kwanza niseme tu, maneno spesho kwa husna muba ambaye kiukweli sihitaji kukufikiria ili nijisikie vizuri. Kila wakati unanifanya, sema nifanye nini! Kuna mtu alisimamisha jua, ukitaka nisimamishe saa nitasimamisha, good to see you buddy. Msidhani nimesahau kumsalimia Tumosa kisa tu nimesoma commeny ya shululu aliyetuhabarisha kwa magazeti. Niseme nini juu yako Shunie kwa kutupa sala na ukamuamsha mjomba wangu lee empire akatuletea BBC, hadithi zilizomfanya Jimena atukumbushe kutosahau historia. Nitakutaja tena Husna kwa simulizi za Che, mtaasisi mwenzangu Nyagei ukatuspotisha na mtaalam mwenyewe Bitoz kwa kubwa kumi, asanteni sana wadau.
Mkushi wa kusi , Clkey , Sakayo , BlessedHope , Transcend ,eden kimario , dingimtoto , Mondray mahondaw ,Madame S , mzeewakungoa koncho77 Bailly5 na wewe unayesoma hapa hata kama sijakutaja kwa jina, sijakusahau maana wewe ni tmu muhimu sana hapa jukwaani. Unalifanya Jukwaa hili lipendeze na unapozidi kuulamba basi nasi tunajua kabisa uji sio supu ya ugali.
Muziki sasa, kuna wakati unaweza kujiuliza mbona anayerudia kaharibu, well zipo baadhi ya nyimbo waliozirudia (cover) zimkuwa nzuri kuliko original. Unamjua Cindy Lauper na TAT (time after time), kama umemjua mwaka 2013 alipoalikwa kwenye kuapishwa kwa BO basi huyu alitamba miaka ya 80s na wimbo wake umerudiwa na Daynea Deacon mjamaika huyu katika mahadhi ya reggae.
Burudika
Chaguo la wadhamini na wapendanao litakujia baada ya dakika 15
Shukrani Bitoz nyangema kwa supu za weekend1/Noni ZondiSijajua mwaka aliozaliwa huko kwa Rais mkware na taifa kinara kwa Virusi Vya Ukimwi duniani
Huyu ni celeb wa huko Afrika Kusini
Anaishi pia jijini London
Hujishughulisha na mambo mengi ya Sanaa ikiwepo muziki na vipindi vya luninga.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane Jumatatu
Mwisho
..............
Big up mtaasisiMuziki wa Wapendanao
Hakuna ubaya kufanya unachoamini katika moyo wako kuwa ni sahhi, kila mtu ana belong kwa mtu wake. Chaguo la wapendanao leo ni kwa hisani ya Shunie na lee empire
Tufurahike pamoja nao
Mnaosemaga mapenzi sio dawa njooni mbishe hapa, yaani nyimbo mbili kwa mtu mmoja, its like moving from dedication to deadication
Tufurahike nao zaidi na unapoagiza combo jua kabisa unapata a meal + a drink
Ulifanikisha kuipakua ile movie ya The Army Soldier?:The Comedy King
Charlie Chaplin
Part X
The Adventure
Full Movie
.....
Usikufwe D atabaki na nani sasaBaba D nimekosa ata cha kuandika kwa hii nyimboyaan hata sijui niandike nini utanifanya nikufwe ghafla nakupenda sana lee wangu
What is love?Binamu limeenda wapi jamaniiii....
Ok swty ebhu enjoy