5/
Peace Hyde
Amezaliwa Agosti 9 1985 huko kwa vinara wa uchawi barani Afrika
Huyu ni binti wa Kighana
Ni mwongoza vipindi vya luninga na matamasha katika nchi za Ghana na Uingereza
Ni binti kichwa aliyepata
Shahada ya kwanza bila kusapua(supplementary) !!! Ana Degree in Psychology(Hons) kutoka Middlesex University huko kwa Malkia
Ametajwa karibu kwenye kila jarida linalozungumzia wanawake wenyewe mvuto barani Afrika
............