Makapuku Forum

Makapuku Forum

cbc3e50a718393fd8cf9c9800ce4b7f1.jpg
 
TEKNOLOJIA

Kwa Makapuku wenzangu tunaopenda vitu original hasa tunaomiliki vyombo vya moto (Gari, Pikipiki na bajaji), simu na accessories zake, vinywaji na vyakula toka super market.

Sasa ni muda wa kuwa makini na vyote nilivyovitaja hapo juu ili tuwe salama.

Kila bidhaa ina namba tambulishi iwe kwenye barcode au katika QR ni lazima iwepo na teknolojia imepiga hatua sana katika hili.

Nazungumzia BARCODE NA QR na leo nitakuambieni namna ya kufanya wakati wa manunuzi yako.
1edcc5c3fef06bda2ba075700c2da0f9.jpg
Ni moja ya App kati ya nyingi zilizopo playstore.
Kazi yake ni kusoma na kudetect barcode na QR kama ni original.

Fake zote haitodetect ila kwa original itadetect na itakuletea info zake.

Ni hayo tu kwa leo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom