Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,636
Leo katika Historia
1915 - Marekani yaanza kuitawala Haiti kwa miaka 20.
Ikaikalia na kuitawala hadi mwaka 1934
......
Leo katika Historia
1915 - Marekani yaanza kuitawala Haiti kwa miaka 20.
Leo katika Historia
1933 - Mahusiano ya kidiplomasia kati ya USSR na Spain yaanza.
Leo katika Historia
1957 - Mvua kubwa na nzito huko Isahaya, Magharibi mwa Kyushu nchini Japan yasababisha vifo vya watu 992.
Wamuuze tuHatimaye Barcelona wamekubari kukaa na PSG kujadili uhamisho wa Neyma
Leo katika Historia
1965 - Rais wa Marekani Lyndon B. Johnson anatoa amri ya kuongeza idadi ya askari wake katika vita ya Vietnam kutoka 75,000 mpaka 125,000.
Pamoja na yote hayo, Marekani ilishindwa vibaya sana vita hiyo ambayo ilipigwa kwenye misitu minene huko Vietnam.
Leo katika Historia
1984 - Michuano ya Olimpiki ya majira ya kiangazi yafunguliwa rasmi huko Los Angeles Marekani.
Leo katika Historia
1993 - Nchi ya Andorra yajiunga rasmi kwenye Umoja wa Mataifa.
Maneno ya Dhahabu
*







فإن كنت فقيراً فغيرك محبوس في دَيْن،*
وإن كنت لا تملك وسيلةَ نقلٍ فسواك مبتور القدمين،*
وإن كنت فقدت ولداً فسواك فقد عدداً من الأولاد في حادث واحد.*
MAANA YAKE:*
NAAMINI KAMA UTAKUA UMESOMA KWA KUZINGATIA, BASI HAUTOKUA TENA NA SABABU YA KUHUZUNIKA.*







Kwa hisani ya mdhamini wangu wa mwezi kansiime. ..tuwe na siku njema....
Hbd AlbertLeo katika Historia
1938 - Albert Fujimori anazaliwa.
Alikuwa Rais wa Peru.
Hbd MathewLeo katika Historia
1985 - Mathieu Debuchy anazaliwa.
Ni beki wa kulia wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa.
Leo katika Historia
2001 - Ian Thorpe mwanamichezo toka nchini Australia anakuwa muogeleaji wa kwanza katika historia ya michezo hiyo kushinda medali sita za dhahabu katika michuano ya Dunia ya Kuogelea.
Simba nguvu moja
Kwani wolper bado harufu inaendelea aisee
Asante mpendwa wa binamu*﴿ ﺑِﺴْﻢِ ﺍﻟﻠﻪِ ﺍﻟﺮَّﺣْﻤﻦِ ﺍﻟﺮَّﺣِﻴﻢِ ﴾*
*Maneno ya Dhahabu
*
*( 121 )*
_*USIHUZUNIKE NA KUIPA DHIKI NAFSI YAKO (2)*_
*لا تحزن يا أخي الحبيب:*
*♡ USIHUZUNIKE NDUGU YANGU KIPENZI:*
*JE KWANINI?*
*◇ لأن الحزنَ لا يردُّ مفقوداً،*
*KWA SABABU: HAKIKA HUZUNI HAIREJESHI KILICHOPOTEA.*
*◇ ولا يبعث ميتاً،*
*WALA HAIFUFUI MAITI.*
*◇ ولا يردُّ قدراً،*
*WALA HAIREJESHI KILICHO QADIRIWA (NA ALLAH MTUKUFU)*
*◇ ولا يجلب نفعاً*
*WALA HAILETI MANUFAA.*
*بل ويخوف من المستقبل ويذهب على المرء يومه....*
*BALI HUTIA KHOFU KUTOKANA NA YAJAYO NA HUIMALIZA BURE SIKU YA MTU BILA FAIDA.*
*♡ فيا أخي الحبيب ...*
*NDUGU YANGU KIPENZI.....*
*لماذا الحزن؟*
*HUZUNI YA NINI?*
*فإن كنت فقيراً فغيرك محبوس في دَيْن،*
*IKIWA WEWE NI FAQIRI, BASI (USIHUZUNIKE) BALI TAMBUA KUNAWENGINE WAPO MAHBUSU KUTOKANA NA MADENI.*
*■ KWA MAANA, BADO WEWE UTAKUA NA UNAFUU ZAIDI, JAPO NI FAQIRI LAKINI BADO UPO HURU.*
*وإن كنت لا تملك وسيلةَ نقلٍ فسواك مبتور القدمين،*
*NA UKIWA WEWE HUNA CHOMBO CHOCHOTE CHA USAFIRI, (LAKINI UNAYO MIGUU) BASI USIHUZUNIKE, KWA SABABU WAPO WENGINE HATA HIYO MIGUU HAWANA (WAMEKATWA KUTOKANA NA MARADHI)*
*وإن كنت فقدت ولداً فسواك فقد عدداً من الأولاد في حادث واحد.*
*NA IKIWA HUNA MTOTO, BASI PIA (USIHUZUNIKE) KWANI WAPO WENGINE WAMEPOTEZA IDADI KUBWA YA WATOTO KATIKA TUKIO MONA TU.*
*■ USIHUZUNIKE DAIMA, KWANI HALI ZA SHIDA NA RAHA KWA MUUMIN ZOOTE NI KHERI KWAKE.*
قالَ رَسُولُ اللهِ صلى الله عليه وسلم:
*Asema Rasulu (ﷺ)*
*"عَجَبًا لأَمْرِ المؤمنِ إِنَّ أمْرَه كُلَّهُ لهُ خَيرٌ ليسَ ذلكَ لأَحَدٍ إلا للمُؤْمنِ إِنْ أصَابتهُ سَرَّاءُ شَكَرَ فكانتْ خَيرًا لهُ وإنْ أصَابتهُ ضَرَّاءُ صَبرَ فكانتْ خَيرًا لهُ"* {رواهُ مُسْلِمٌ}
*MAANA YAKE:*
_*“Ni ajabu jambo la muumini, hakika mambo yake yote ni kheri na hilo haliwi kwa yoyote isipokuwa muumini, akipata yenye kufurahisha anashukuru na hivyo kuwa ni kheri kwake, na akipata lenye kudhuru anasubiri na hivyo kuwa ni kheri kwake.”*_
*NAAMINI KAMA UTAKUA UMESOMA KWA KUZINGATIA, BASI HAUTOKUA TENA NA SABABU YA KUHUZUNIKA.*
*{إِنَّمَا يَتَذَكَّرُ أُولُو الْأَلْبَابِ}*
_*Hakika wenye akili ndio wanao zingatia,*_
*الدعوة اﻹسلامية.*JUMUA MUBARAK
Nimekukimbilia wewe Bwana nisiabike milele kwa haki yako uniponye

Leo katika Historia
1938 - Albert Fujimori anazaliwa.
Alikuwa Rais wa Peru.
Shaaa....!!! Kumbe mliniteetaaTimu yake Captain ni Husna Mubb