Makapuku Forum

Makapuku Forum

f73724db7fd6d37d4ba1c0e8b591cfae.jpg

Chat chat chat
Duh
 
5/James & Oliver Phelps
29b01c7d391b130340ff0ccc04ea9f28.jpg
7f2f6ea0dbb5071c7502a4db0ac9e1ff.jpg

Walizaliwa Februari 25 mwaka 1986
Hawa ni mapacha maarufu huko kwa Malkia Elizabeth na dunianikwa ujumla
Hawa wanafahamika zaidi kama Wesley Brothers
Wanaonekana kwenye mfululizo wa filamu za Harry Porter
066d95aa4726265c95fc413487fd5b9c.jpg
Katika filamu hizo kuonekana wakiwa na nywele nyeusi au rangi zingine tofauti na uhalisia kutokana na kupaka rangi( ambapo kiuahilsia wana nywele za dark beown)

Kwwnye filamu za Harry Porter watu wengi wameshindwa kung'amua kwamba ni mapacha na sio mtu mmoja

...........
 
4/Billy &Benny Loyd McCrary
a0bcae50d99cec9e86f21c19963e802d.jpg
261cd2559f27c06fcbddbb33bf21dcd0.jpg
8b4c30dde7a5ac2a230cc8a7e115fb5e.jpg

Walizaliwa Disemba 7 1946
Hawa ni mapacha wanaoshikilia rekodi ya kuwa mapacha vibonge zaidi kuwahi kutokea duniani
Walikuwa na uzito wa jumla wa Paundi 1468 (Kg 670+)
Mmoja alifariki wakati wakiendesha pikipiki ya pamoja(pikipiki pacha) mwaka 1979.....walipendelea kuendesha pikipiki
Mwingine akafariki mwaka 2001 kwa ugonjwa wa moto
Makaburi yao yamejengwa kwa kuyaunganisha sehemu moja

.............
 
3/Cameroon & Tayler Winklevoss
c8196ea7329a5c777a5801bc4c5a1144.jpg
e16e6ae3c28cf414928c9e85f6b4a3ef.jpg

Walizaliwa Agosti 21 mwaka 1981
Hawa ni wataalamu wa kubuni na kutengeneza tovuti yaani wapo vizuri kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano(TEHAMA/ICT)
Ndio waliomshawishi na kumvutia Mark Zuckerberg kuanzisha mtandao wa Facebook baada ya kutoa wazo
13fa4cb29d2a7a34508f1e987d84fb9c.jpg
Pia wana kipaji cha kurusha mikuki na kuendesha mitumbwi na walishiriki pamoja katika michuano ya Olympic huko Beijing China 2008

...............
 
TOP TEN
Ni siku nyingine iliyopooza ....Waswahili husema sio kila siku ni Jumatatu wakimaanisha siku hazilingani pia wiki,miezi au miaka hailingani inatofautiana kwa matukio hivyo basi sio kesi

Kwa Bongo mapacha maarufu ni Maria na Consolata na kwa Nigeria huko nafikiri ni Okore Brothers(P Square)
Leo tuangalie mapacha kumi maarufu zaidi duniani
Mnakumbuka kuna siku tuliongelea mapacha walioungana ila leo tunaongelra mapacha wa kawaida

Karibuni

................
Asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom