Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
Hawajambo kabisa shemela sijui wakina jjD na baba yake hawajambo
Hawajambo kabisa shemela sijui wakina jjD na baba yake hawajambo
Leo katika Historia
1789 - Wizara ya mambo ya nje ya Marekani yaanzishwa.
Leo katika Historia
1990 - Belarus inajipatia Uhuru wake toka kwa USSR.
Lakini ilipofika mwaka 1996, walibadilisha tarehe yao uhuru na kuwa June 3.
Pamoja sn rafiki wa ukweli jimena jimeles!Sina la ziada tukutane tena kesho, kwa udhamini mnono wa yule mbabe aliekuwa anapiga milioni kila dakika ambapo basi tukio hilo la kihistoria linatimiza mwaka siku ya leo toka kugundulika
Ila kumbuka sio kila dakika ni milioni japo kuna dakika zingine zina mamilioni
Niite Jimena Jimenes
Hasta la Vista!!
Leo katika Historia:
1963 - Donnie Yeni anazaliwa.
Mkali wa filamu za mapigano toka Hongkong.
Leo katika Historia:
1965 - Jose Luis Chilavert anazaliwa.
Golikipa wa zamani wa Paraguay.
Alikuwa mashuhuri sana kwa kupiga free-kick na moja kati ya magolikipa waliokuwa wanafunga sana magoli.
Leo katika Historia
1965 - Triple H. Mcheza mieleka toka Marekani anazaliwa.
Leo katika Historia
1983 - Goran Pandev.
Mchezaji wa zamani wa Inter Milan anazaliwa.
Leo katika Historia
1987 - Marek Hamsik anazaliwa.
Ni mchezaji wa Napoli ya nchini Italy.
Leo katika Historia
Leo ni siku ya Usingizi nchini Finland.
Pamoja sana mdauAhsante mdau
.....
mic uMorning too my love
Naona leo mtu wakp hayupoMarahabaa
Madame S
Yaaani anaangalia mechi saa hii ndio namie naranda randa kwenye majukwaaNaona leo mtu wakp hayupo
Tangu asubuhi nilikuacha peke yako
![]()
![]()
![]()
....