Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Lol![]()
Chat chat chat
Kila mtu busy
Lol![]()
Chat chat chat
Wazee wa assist10/Ronald"Ronnie" & Reginald"Reggie" Kray![]()
![]()
Hawa mapacha waliishi maishi ya kijanjajanja tu
Hawa umaarufu wao umetokana na tabia yao ya utapeli,wizi, mauaji,ukabaji na kila aina ya upuuzi waliokuwa wakiufanya katika kitongoji cha East End London mahali walipokuwa wakiishi miaka ya 1950 na 1960'
Pamoja na uhalifu wao huo waliofanya kwa kificho waliweza kumiliki klabu ya usiku na hivyo kifahamiana na mastaa kibao na hivyo kupata shavu kwenye vyombo vya habari na pia kupiga assist kwa mastaa
Mwaka 1968 walitiwa mbaroni na kutupwa jela maisha
..............
Wakuuu
KwemaNawasalimiaaa wotee
VizuriiiiiiKwema
Life linasonga tu
.....
8/Charlie & Craig Reid![]()
![]()
Walizaliwa Machi 5 mwaka 1962Hawa walikuwa na bendi yao waliyoiita The Proclaimers ambayo waliianzisha mwaja 1983 wakiwa na miaka 19 tu![]()
Walitikisa sana miaka ya 1980 na kibao chao cha I am Gonna Be 500 Miles :
I'm Gonna Be
(500 Miles)
.......,..,..
HelloHello! Every body...![]()
post using my macbook air using jamiiforums app
Aisee4/Billy &Benny Loyd McCrary
![]()
![]()
![]()
Walizaliwa Disemba 7 1946
Hawa ni mapacha wanaoshikilia rekodi ya kuwa mapacha vibonge zaidi kuwahi kutokea duniani
Walikuwa na uzito wa jumla wa Paundi 1468 (Kg 670+)
Mmoja alifariki wakati wakiendesha pikipiki ya pamoja(pikipiki pacha) mwaka 1979.....walipendelea kuendesha pikipiki
Mwingine akafariki mwaka 2001 kwa ugonjwa wa moto
Makaburi yao yamejengwa kwa kuyaunganisha sehemu moja
.............
UchocheziNa Philippines /Venezuela
Hata wasipokuwa na vipajiHawa walikuwa na vipaji aisee
Nakupungia mkono ankaliNawasalimiaaa wotee
maana sio kwa kukumiss hukuNilidhani kuna assistUmekuja mbio unafikiri kuna ugali hapa
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
......
Lakini kuna mapacha wengi tu wameshindwa japo kutoka tuHata wasipokuwa na vipaji
Kufanana kwao tu kunatosha kupiga mpunga
......
NawasalimuPowaa u good
Madame S
jioni ya leo
Tatizo uncle magu au?
Pole sana, maisha yenyewe ndio Haya haya
Asante, hope uko poa dadaNawasalimu![]()
jioni ya leo
![]()
![]()
Wamtafute Mtu mwepesi awape dawaLakini kuna mapacha wengi tu wameshindwa japo kutoka tu
MkuuWakuuu