Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Good nightHello guyz good afternoon,
post using my macbook air using jamiiforums app
Good nightHello guyz good afternoon,
post using my macbook air using jamiiforums app
Mwanaume yeye ndio ana haki maana aliambiwa ni sealed===HAHAHAHA KUMBE BADO KUNA WATU WANADILI NA HII KITU!!! HUKU BONGO WATU WANAANGALIA MKIA TU WANABEBA WANAWEKA NDANI WAKUNWE VITOVU
===SWAZILAND: Mwanaume mmoja ametaka arudishiwe mahali ya Ng'ombe 24 baada ya kugundua mke aliyemuoa si bikira kama alivyohakikishiwa wakati akifanya taratibu za ndoa.
=== Mwanamke huyo Ruth Thembisile Sibiya amesema kuwa hata yeye hakumkuta mume wake bikira kwakuwa tayari alikuwa na watoto wawili.
===HAKIKISHA NA WEWE MSAFI KABLA HUJAONA UCHAFU WA MWENZIO
In unatafutwa kama shilingi ya mjerumaniGood night
Uko poa shem waneBaba D njo huku eti unipige mgongoni![]()
Ni humu tu, kwingine sio mimiUnayajua majukwaa yako shem
Nipo poa shem soma viporo utakutana post ya kutafutwa na linamoUko poa shem wane
Bora shem uendelee kuogopa chura

Shunie umeuza sura hapo![]()
Nenda jukwaa husika halafu juu hapo kwenye kitufe weka![]()
.....
Tutafungua nae maana game ya kwanza ya United tunakutana na West Ham UnitedChicharito wetu jaman![]()
TunashukuruTunasemaga HV Kids love MMU n JLW
But legends loves Jf Intelligence.
Nimejiunga hapa Jf ajili ya lile jukwaa.
Nimekaa miezi mitatu sikoment wala kupost chochote nasoma tuuu Kule, ndio Feb nikajiunga huku KP
Nimefika my loveNdo nalala cuzoo.
Mwambie atanikuta nyumbani
Nyagei, umetuangusha sana sisi mashabiki wako usiku wa leo. Endelea kutoskip uone ulivyotafutwa





Poleee jaman shemNimefika my love
heeeh, usinijaze maneno ambayo sijaongea mimi. Umeongea kuingizwa kwenye timu, nikasema ndiyo anko atakuingiza bila shida kabisa maana timu ni yake na si ya mtu mwingine.
kwani wewe unadhani nilielewa tofauti jamani?
Napatikana hapa mamaNyagei anapatikana wapi?
Mikakati ya kifamiliaHivi mbona mnapishana jamaan alikuwepo ujue shem nyagei na we ulikua wapi cuzoo jaman
Nimekuja mtaasisi, Mambo vipi lakini