Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Chaguo la Wapendanao: My Love Is Your Love
Nimerudi tena, uzuri wa KF ni kuwa na segment kadha wa kadha na zote zikiwa na leo moja tu, kukufanya ufikiri, uelewe na uburudike na si zaidi ya hapa.
Chaguo la leo ni la Shunie na linaenda kwa mtu wake wa nguvu lee empire
FYI: WH ana tuzo kibao na anatajwa kuwa ni mwanamuziki wa kike maarufu wa muda wote akiwa na tuzo kibao zinazofikia 415 zikijumlisha Emmy, Grammy (6), Billboard MA (30) na nyingine kibao. Furahia na wapendanao
NyageiLinamo
Finally nipo homeKaribu anakuja
Huu ujenzi wa mji ni changamoto sana kwa sisi wenye ndoaSubiri umtakie yeye
Nimeshapatikana mkuuIn unatafutwa kama shilingi ya mjerumani
Nimepitia, sasa yupo na amani ya moyoNipo poa shem soma viporo utakutana post ya kutafutwa na linamo
Nimeona mtaasisiNyagei, umetuangusha sana sisi mashabiki wako usiku wa leo. Endelea kutoskip uone ulivyotafutwa
Ahsante sana shem wanePoleee jaman shem
Shemela unajifanya hujui eenh mambo yake ya wahamiaji haramu na vyeusi mangala hujakaa kidogo habari za mdogo wa mama ashura aisee

Iyo kuna nampenda nimemwekea.... Usiogope lakini sio mke wako.

Kweli katuangusha sana aiseeNyagei, umetuangusha sana sisi mashabiki wako usiku wa leo. Endelea kutoskip uone ulivyotafutwa
Ondoa shaka mtaasisiMambo poa sana, yaani umetafutwa mimi na anko wangu tukaenda kutangaza kwenye spika za masjid kuwa unatafutwa, wewe kimya.
Sasa kujieleza ni jukumu lako sisi jukumu la kukutetea tuefanya na kukamilisha
KaribuFinally nipo home
Ni nzuri sana dedication ya leo
Sana, kumbe ulikuwa hujuiHuu ujenzi wa mji ni changamoto sana kwa sisi wenye ndoa
Asante shem wangeNi nzuri sana dedication ya leo

shemela pambana na hali yako chagua nyimbo yako hiyo nimemchagulia Baba D ujue
