Makapuku Forum

Makapuku Forum

...sawa sawa itakuwa rahisi kukuingiza na akikuingiza inabidi ukazane kweli kweli vinginevyo ukichoka haraka anatafuta mchezaji mpya amsajiri, mpira ni biashara hii ndo kanuni ya timu ya anko
Binamu kuniingiza niliyoongelea wewe umemaanisha ningizweje mana naona maelezo yako siyaelewi ujue me nataka kuingizwa kucheza netball sio ingizwa hiyo yako
 
Swadakta mdau, inawezekana nilielewa tofauti.

Michango ya member wa hapa haiji tu kwa kuwa mtu anataka kuandika, au aonekane kaandika.
Hata sentensi moja inayoeleweka ikiandikwa hapa hutokana na mtu kupata maarifa fulani na kisha kuyatumia kupitia ujuzi ili mwingine aelewe.

Hakuna kipya kinachoandikwa sasa, tunakuja na njia rahisi tu ya kueleweshana. Ndiyo maana unapoweka UF au zile kumi bora nia ni kufikisha maarifa kwa mwingine ambaye naye anagawa maarifa kwa namna yake. Hii ndiyo intelijensia.

Unapoandika kitu kieleweke lazima ufikiri (tasking the brain-reasoning) na hii ndo intelligence.
Makofiiii
 
Binamu kuniingiza niliyoongelea wewe umemaanisha ningizweje mana naona maelezo yako siyaelewi ujue me nataka kuingizwa kucheza netball sio ingizwa hiyo yako


heeeh, usinijaze maneno ambayo sijaongea mimi. Umeongea kuingizwa kwenye timu, nikasema ndiyo anko atakuingiza bila shida kabisa maana timu ni yake na si ya mtu mwingine.

kwani wewe unadhani nilielewa tofauti jamani?
 
Ebhaneeee, WH ni kifaa kingine jamani, huyu dada alikuwa anajua kuimba yaani unasikiliza tu nyimbo unajua kabisa muziki huleta ashki bila ku-ask
Acha binamu huyu mama jamaan anajua ukisikiliza nyimbo zake haziishi hamu nakumbuka kipindi nipo mdogo hii kuna aunty yangu enzi hizo hakunaga cd mambo ya cassette tu alikua na album nzima ya whitney houston sikumbuki jina kuna my love is your love, heart break hotel, i will always love u, daah na ile aliyoimba na mariah carey binamu niwekee asee hiyo nyimbo ngoja nitafute nyimbo zake huyu mama ziniliwaze tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom