Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Sawa mtaasisi..yaani unakuta mtu ana mpenzi mmoja tu au hana kabisa lakini kila mwezi anaenda kupima! Huku ni kuharibu rasimali za serikali, wapime wahitaji.
Yaani ukipima halafu ukatoka negative unapaswa ushitakiwe kwa kuchezea vifaa tiba vya serikali.
Huwa sitakagi mchezo kwenye masuala ya mali za umma🙁
