Wewe ndo maana ukuu wa shule walikunyanganya huwez mueleweshaa mtu akaelewa
Na hili swala kukamia ni wachezaji au kocha mana nashindwa kabisa kuelewa kwa nini inkua hiviMtoe kasumba ya kukamia big match pekee
Hell yeah!! I do agree with uYou gonna shock if you usually doing sexual intercourse....but if you always use protections (condoms) you won't be afraid....
Good evening madame s,
post using my macbook air using jamiiforums app
Husna wa UswazNaona amesahau msemo Wa wahenga Wa"nguo ya kuazima haisitiri ma.ta.ko
Achezee na vyoote ila sio mke wangu
Da asee hili ni janga zito mungu atusaidie wamama kwa kweli5/Vifo vitokanavyo na uzaziKuna usemi kwamba ujauzito ni nusu ugonjwa
Kilichomtokea mke mdogo wa Mzee Yusuf juzijuzi hapa kila mtu anajua...inasikitisha
Vifo vinavyoongelewa ni vya mama wajawazito pamoja na vya watoto wachanga wakati wa kujifungua
Huathiri zaidi nchi maskini kutokana huduma mbovu za afya
Kina mama nusu Milioni na watoto zaidi ya 2.5 Milioni hufariki
Jumla ni vifo 3+ Milioni
.........
Naomba picha tafadhaliNaona amesahau msemo Wa wahenga Wa"nguo ya kuazima haisitiri ma.ta.ko
Mbavu zangu..yaani unakuta mtu ana mpenzi mmoja tu au hana kabisa lakini kila mwezi anaenda kupima! Huku ni kuharibu rasimali za serikali, wapime wahitaji.
Yaani ukipima halafu ukatoka negative unapaswa ushitakiwe kwa kuchezea vifaa tiba vya serikali.
Huwa sitakagi mchezo kwenye masuala ya mali za umma🙁
Am good madame s
Ila binamu ...bora ulijiajirii make katabia kako ka kuandikia watoto wa watu see me ulikuwa umezidishaaHa hahahahahah, ila wameshindwa tu kutonifanya nisiwe mwalimu wa zamu. Unajua unaweza kubarikiwa kwa namna tofauti, walininyima umwalimu mkuu, lakini wiki jana nilikuwa mwalimu wa zamu
Muhanga nipo hapa3/Maambukizi katika njia ya upumuaji
Hakuna mswahili asiyeujua ugonjwa wa pumu
Pia juzijuzi kuna kapuku mwenzetu kapoteza maisha kutokana na maradhi ya upumuaji{RIP Ibra)
Huu ushambulia mfumo wa upumuaji...Unaweza kuwa pneumonia au bronchitis
Tunasisitizwa kufanya mazoezi,kula vyakula salama kwa afya,kuishi kwenye nyumba zenye hewa swaafi yaani madirisha yanayoruhusu hewa kupita,pia tupandikize miti nyumbani,kuepuka kazi za vumbi n.k
Husababisha vifo 3.5 Milioni kwa mwaka
.........
Ucjal twinAsante kwa hadithi
Kwani UKIMWI ulitoka kwa wanyama/sokweWe kuutwa kuchwa na mbuzi wako tu ukimwi utautoa wapi??!!
Mie kupima mpaka mwaka Wa kuzaa
:Nasubiri kaka Bitoz ziwahiwahi bac kabla cjapitiwa na ucngizi nijikee mwenyewe
Sure...... Go on!Am good madame s
I remember wah u told yesterday it's like "siwez kutamka neno,namtakiaga mpenzi wangu tu"
I have a shorty and simple quastion to you...
May i continue..?
post using my macbook air using jamiiforums app
Hawaoni kabisa, kwa wajanja huwa wanavuta wakiwa nusu uchi ili harufu ipotee, kisha ni mwendo wa strawberry gum