Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Ni bora nizirudie kwa kuziboresha kuliko nisipost kabisaOk mdau kumbe kumbukumbu zangu ziko sawa
.....
Ni bora nizirudie kwa kuziboresha kuliko nisipost kabisaOk mdau kumbe kumbukumbu zangu ziko sawa
Zamani ukikanyaga miwaya tu jeuri kwisha kila mtu atajuaNatamani ipigwe marufuku sema ndo hivyo tena miradi ya wakubwa.
Hii midawa imeondoa khofu yote iliyokwepo mwanzo noma sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Majogoo mwaka wa 20 hawajabeba EPL
Maskini Gerrard kastaafu bila kunyanyua kwapa
.....
Kama mimi sipendagi kupitwa kwa sasa najitahidi tu ila roho inaumaAnapenda viporo
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]husna obe muba najua uko poa
Na mifugo yakemdau Bitoz najua uko poa .....salaaaam
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]..duh, bora umekuja anko! Maana kulikuwa na fitna humu humu kuwa umefumaniwa, mimi nilibisha sana nikawa nakutetea lakini unawajua wale unaopaswa uwaweke kwenye list ya wabaya wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]shedy ma bway what a ting my nig
au ada kwa ras simba imeisha
Aache kummiss mkongo wake akumis wewe??!! PyeeeOh, nilijua kalike yangu! Mbona sasa hajalike yangu, au hajanimiss
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hivi binamu we si ndio ulisema kuwa amefumaniwa
JidanganyeKama mimi sipendagi kupitwa kwa sasa najitahidi tu ila roho inauma
Sawa mama mchuchu kagoma jumlaWazima wote sakayo kesho tutakuwa nae
Karibuni sana mke mweeeWasalimie pia tutakuja kuwaona wakina jj
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] niko mtwara mienilijuaaa huyu binamu nisipokuwepo lazima fitina zianze kwakee....kwanza husna yupo sumbawanga au mabibo
Umbea amuachie naniDoooh hivi kuskip ndio hutakagi kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huku mguu Wa 3 unaning'ia...aisee hisia kwako upande wa kwanza ziko sahihi, ila mimi umechanganya, mimi ndo nilikuwa nawapinga wote waliounga mkono kuwa umefumaniwa, fikiria kuna mmoja muhimu alisema ulikimbizwa boksa umeshika mkononi nguo umeziacha wapi sijui, ukakimbilia baharini, kweli?
Ile hali ilikua kama aibu hivi kwenye family ndomana watu uwoga ulikwepo sasahivi looooo ukienda club watu hata hawajuani kwenye giza wameinamishana na baada ya hapo hawata juana vilevile ni khatariiiiZamani ukikanyaga miwaya tu jeuri kwisha kila mtu atajua
Utakonda kama mbao
Utaharisha kama bata
Utanyonyoka nywele kama kunguru
Utakohoa kama jenereta
Nguo zote zitakuvuka hata ukaze mkanda
Ila siku hizi kila mtu bonge
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Salama,tumekumic kweliNzuri kabisa mama watoto wangu, za kazi
Kuna mambo yamemlazimu kuwa nje kwa mudaPoa kabisa, mama mchungaji mbona haonekani KF