Makapuku Forum

Makapuku Forum

9/Kifua Kikuu
f425f37e59ab36d35f202df87d1beb01.jpg
0a355dd8ef402d74feb31c9c03cfefa2.jpg
667c9d03c3bfac5f880bd49bc3575e19.jpg
Huu ugonjwa huenezwa na bacteria kwa njia ya hewa...huathiri zaidi mapafu lakini pia huweza kuenea hadi katika vuingo zingine
Mgonjwa hupoteza uzito kwa kiwango kikubwa
Kuna uhusiano mkubwa kati ya Kifua Kikuu na mtu kuwa na VirusiVya Ukimwi
Husababisha vifo 1.4 Milioni kwa mwaka
..........
 
8/Saratani
7b6cbe30a0192bb0edc5620ccc4e3f79.jpg
dfaef5b80eaaae737ce987fc2b740c54.jpg
d47179e73307edbbb68c4313de9d627a.jpg
Saratani kutokea pale seli zinaposhindwa kufanya kazi(kufa}..ikumbukwe viungo vyote kwenye mwili wa binadamu vimeumbwa kwa seli hivyo basi kila kiungo kina saratani yake, wanawake hushambuliwa na saratani ya matiti na kizazi wakati wanaume ni tezi dume
Saratani husababishwa na sababu za kibaolojia. Uvutaji sigara n.k
Huu ndo ugonjwa uliowaua Kambarage Nyerere,Daudi Balali,Samwel Sitta huku Jakaya Kikwete akiponea chupuchupu kwa saratani ya tezi dume baada ya kuwahi matibabu
Husababisha vifo 1.5 milioni kwa mwaka
.........
 
Ugonjwa huu uusikie tu jaman
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom