Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Hawajambo wanakusalmie mke mweeeShemela kaniambia kumbe iliwekwa mama jj basi acha tu tuendelee mpendwa wa binamu nae hana ratiba maalumu watoto wangu wanaendeleaje lakini mke mwee
Hawajambo wanakusalmie mke mweeeShemela kaniambia kumbe iliwekwa mama jj basi acha tu tuendelee mpendwa wa binamu nae hana ratiba maalumu watoto wangu wanaendeleaje lakini mke mwee
Acha kabisa Mungu atunusuru tuHauna tajiri wala maskini
Msomi wala mbumbumbu
Mdogo wala mkubwa
Mnene wala mwembamba
Mwanamke wala mwanaume
Ni janga
.....

Wazima wote sakayo kesho tutakuwa naeMke mweee mambo,mama mchuchu na Sakayo hajambo
Wasalimie pia tutakuja kuwaona wakina jjHawajambo wanakusalmie mke mweee
Doooh hivi kuskip ndio hutakagi kabisa
Ungenistua ningekuja mana nipo karibu napo apoTulikaa masaa matatu mbona
![]()
![]()
:
Ni mzaliwa wa Winchester
.....
Mungu atusitiri tuwe makini7Ukimwi![]()
![]()
![]()
Ferouz likiri wazi kwamba starehe zimemponza ila MwanaFA kwa umbea akasema marehemu alikufa kwa ngoma
Siku hizi kila mtu ni bonge sasa sijui utamtambuaje
Huu huenezwa zaidi kwa kujamiiana(hatachi ng'o)
Haina tiba bali una kinga(kondomu)....Zamani mtu akiugua hili gonjwa ilikuwa ni rahisi kumjua ila siku hizi ARV zimewafanya watu wanenepe na kupunguza vifo vya mapema
Huua watu 1.8 Milioni kwa mwaka
..... ..
hope mko poa!! Jioni njema!Akija tokea nazani na mwisho wa dunia si mbaliWanagharibi wakiona upo dhidi yao wanakuita Dikteta
Dikteta Mugabe
Dikteta Gaddafi
Dikteta Mussoloni
Dikteta Hitler
Dikteta Pinochet
Dikteta idd Amin
N.k
Ila sijawahi kumsikia Dikteta Mmarekani wala Mwingereza
![]()
![]()
![]()
.......
Jamaa huyu pasua kichwaDoooh hivi kuskip ndio hutakagi kabisa
Mungu atunusuru7Ukimwi![]()
![]()
![]()
Ferouz likiri wazi kwamba starehe zimemponza ila MwanaFA kwa umbea akasema marehemu alikufa kwa ngoma
Siku hizi kila mtu ni bonge sasa sijui utamtambuaje
Huu huenezwa zaidi kwa kujamiiana(hatachi ng'o)
Haina tiba bali una kinga(kondomu)....Zamani mtu akiugua hili gonjwa ilikuwa ni rahisi kumjua ila siku hizi ARV zimewafanya watu wanenepe na kupunguza vifo vya mapema
Huua watu 1.8 Milioni kwa mwaka
..... ..
inasikitisha sana
Hataki kupitwa mpendwa wa binamu obeJamaa huyu pasua kichwa
Kweli kabisa madame sMungu atusitiri tuwe makini
Kupima afya ni vyema zaidi sasa hivi hukupa uhakika juu ya afya yako na inakufanya unakua makini zaidi
Nimevamia sijui![]()
![]()
![]()
![]()
hope mko poa!! Jioni njema!
Madame S
Acha tu Bongo ipo kwenye TOP TEN ya nchi zinazoongoza duniani kwa UkimwiMungu atusitiri tuwe makini
Kupima afya ni vyema zaidi sasa hivi hukupa uhakika juu ya afya yako na inakufanya unakua makini zaidi
Nimevamia sijui![]()
![]()
![]()
![]()
hope mko poa!! Jioni njema!
Madame S