Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Anamaliza kabisa weseAisee
Anamaliza kabisa weseAisee
Shemela za wewe
Juzijuzi tu nimepima kitu -veMungu atunusuruinasikitisha sana
Majogoo mwaka wa 20 hawajabeba EPLAisee hongela zake
Ila liver ni hasara tupu
Muhim kua makini kupima afya tu na kua makini jinsi ya kupata maambukizi au kuendeleza maambukiziAcha tu Bongo ipo kwenye TOP TEN ya nchi zinazoongoza duniani kwa Ukimwi
ARV ndo zimeongeza tatizo maana now kila mtu boge
Kazi tunayo
....
Mkuu hii kama umeirudia au nakumbuka vibaya ??Acha tu Bongo ipo kwenye TOP TEN ya nchi zinazoongoza duniani kwa Ukimwi
ARV ndo zimeongeza tatizo maana now kila mtu boge
Kazi tunayo
....
Nzuri kabisa mama watoto wangu, za kaziHbr ya jioni baba watoto
Aisee8/Saratani![]()
Saratani kutokea pale seli zinaposhindwa kufanya kazi(kufa}..ikumbukwe viungo vyote kwenye mwili wa binadamu vimeumbwa kwa seli hivyo basi kila kiungo kina saratani yake, wanawake hushambuliwa na saratani ya matiti na kizazi wakati wanaume ni tezi dume![]()
Saratani husababishwa na sababu za kibaolojia. Uvutaji sigara n.k
Huu ndo ugonjwa uliowaua Kambarage Nyerere,Daudi Balali,Samwel Sitta huku Jakaya Kikwete akiponea chupuchupu kwa saratani ya tezi dume baada ya kuwahi matibabu
Husababisha vifo 1.5 milioni kwa mwaka
.........
Sizani kama kupima afya ndo dawa mana ukiukwaa imekura kwako tuMungu atusitiri tuwe makini
Kupima afya ni vyema zaidi sasa hivi hukupa uhakika juu ya afya yako na inakufanya unakua makini zaidi
Nimevamia sijui![]()
![]()
![]()
![]()
hope mko poa!! Jioni njema!
Madame S
Kwani hajuiKaraha mie ni mke wa mtu babu
Hii mada nilipost zamaniMkuu hii kama umeirudia au nakumbuka vibaya ??
Anapenda viporoDoooh hivi kuskip ndio hutakagi kabisa
Natamani ipigwe marufuku sema ndo hivyo tena miradi ya wakubwa.Acha tu Bongo ipo kwenye TOP TEN ya nchi zinazoongoza duniani kwa Ukimwi
ARV ndo zimeongeza tatizo maana now kila mtu boge
Kazi tunayo
....
Poa kabisa, mama mchungaji mbona haonekani KFShwari tu mkuu
Mambo vipi
Kuna move ulicheza ulingoni naonaga vipande tu hem nipatie hiyo nimeipenda sanaShwari tu mkuu
Mambo vipi
Ok mdau kumbe kumbukumbu zangu ziko sawaHii mada nilipost zamani
Kuitrudia haina ubaya
Wapo walioisahau pia wapo walioikosa
Wiki hii ni kuzirudia tu...sina kipya cha kuandika wiki hii naboresha za zamani
Pia wiki hii uda ni tatizo
Vitu vipya labda next week
......
Sipimi mpaka nimpe mtu tumbo mana hiyo midawa yao siipendiJuzijuzi tu nimepima kitu -ve
Ila sibweteki
Kapimeni jamani
![]()
![]()
![]()
.....