Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
kwa hiyo binamu umeona simu yangu kufuta viemojii umenikomoaa ...weee sawa si unataka tufanane...mimi sikuanzisha fitna jamani.
Husna tuko naye hapa south, Mtwara
sion emojiii
kwa hiyo binamu umeona simu yangu kufuta viemojii umenikomoaa ...weee sawa si unataka tufanane...mimi sikuanzisha fitna jamani.
Husna tuko naye hapa south, Mtwara
Kasema tena unakimbizwa na hiko kitambi chako
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]binamu yako huyojamanii kwa hiyo kitambi changu kuna watu wanakionea dongeee
emojiii zangu binamu kaflashiiiiiShusho Baba D [emoji120]
binamu tushawahi kuvunjiana heshima na hekima ?
Fresh tumdau Bitoz najua uko poa .....salaaaam
huyu anatakiwa maombi ya nguvu kufunga na kulala[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]binamu yako huyo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]emojiii zangu binamu kaflashiiiii
Tena ya siku arobaini hayo maombi yanamuhusuhuyu anatakiwa maombi ya nguvu kufunga na kulala
kwa hiyo binamu umeona simu yangu kufuta viemojii umenikomoaa ...weee sawa si unataka tufanane
sion emojiii
Tena ya siku arobaini hayo maombi yanamuhusu
Pole shemela,karibu nyumbaniWapendwa kwema ....nimewamis sana post ni nyingi kinyama kinomaaaa inabid niskip sina namna
masaa 8 yamekuwa masiku ila nimeshindwa kuingia kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]husna obe muba najua uko poa
Umewasahau akina jj nao hawajambo pamoja nasishululu najua uko poa kinoma na Tumosa wko
Gospel Time: Jumapili Tulivu
Ninakusalimia Kapuku mheshimika, najua una wakati mzuri Jumapili hii. Asante kwa Higher Power kutupa nafasi ya sisi kuwa hapa. Nitarudia tena gospel music huwa haijali dini hata kama ziko zinahusiana na ukristo zaidi. Ni muziki mzuri kuusikiliza na unaburudisha na ndiyo maana hata kwenye Jukebox tunazichaguaga huku tunaangusha moja moja na tukifurahia tunasimama tunacheza kwa step.
Anaitwa Shusho, anajulikana sana kwa nyimbo zake nzuri zinazovutia. Sauti yake inaendana na sura yake na umbo lake la umiss bantu basi mimi naandika hapa huku natamani ningekuwa namtungia mashairi. Mungu azidi kumbariki sana. Usinihukumu kabla hujahukumiwa, burudika
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...ndo ujue ule ubingwa ulioufanya kwenye simu yangu umekurudia. ssasa inabidi uiuze ununue nyingine. Au tubadilishane sasa
Ndio usubili tukufungieMkifunga siku forty si mtachacha? Au maana mimi huwa nafunga siku 30 siogi wala kuswaki najipilizia unyunyu tu, gift of zanzibar na sabuni ya rexona