Makapuku Forum

Makapuku Forum

9af566c337695943e391ecc93573f3d7.jpg

Achana na Kim Kardashian au Katie Price (Jordan)
J.lo ni mmoja kati ya mastaa wa kike mapepe warembo na mapepe a.k.a cha wote
Ben Afleck,P.diddy na mastaa kibao wamepiga ...bila kuwasahau madansa wake
2933532b4f75b2a9ad4d9748212d8ea0.jpg

Filamu ya Anaconda ilimwonfezea umaarufu na pia kuingiza mkwanja wa kueleweka :
Jenny fFrom The Block
:
All I Have
.....

Naukubali sana huu wimbo
 
Leo katika Historia

1983 - Danielle De Rossi anazaliwa.
Mchezaji wa mpira wa miguu toka klabu ya As Roma na timu ya taifa ya Italy.Ni kiungo wa shoka ambae anacheza kama kiungo mkabaji.
Ametwaa kombe la dunia mwaka 2006.
2674ff1d4c533f9b06cf8df2b005d5d6.jpg
262cb76b0851b17858e2e52bf529315c.jpg


Jamaa ni fundi
Wataliano wanajua miaka na miaka
.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom