Makapuku Forum

5/Vifo vitokanavyo na uzazi Kuna usemi kwamba ujauzito ni nusu ugonjwa
Kilichomtokea mke mdogo wa Mzee Yusuf juzijuzi hapa kila mtu anajua...inasikitisha
Vifo vinavyoongelewa ni vya mama wajawazito pamoja na vya watoto wachanga wakati wa kujifungua
Huathiri zaidi nchi maskini kutokana huduma mbovu za afya
Kina mama nusu Milioni na watoto zaidi ya 2.5 Milioni hufariki
Jumla ni vifo 3+ Milioni
.........
 
 
4/Ugonjwa wa Mapafu
Mwana vuta tu sigara maana mapafu ni mali yako pia sigara unanunua kwa pesa yako ila elewa tu huo sio ujanja na mapafu yako yamejaa masizi kama sufuria la maharage kwenye jiko la kuni
Unafahamika zaidi kitaalamu kama CORD..Unaweza kuwa Wa muda mfupi au mrefu
Uvutaji sigara huchangia huu ugonjwa
Unaua watu 3.3 milioni kwa mwaka
.........
 
Asante sana kwa hizi Ngoma

Huo Jen from the block ndio alikua akiwajulisha watu kwamba hajabadilika yeye ni yule yule wa kitaa

All I Have ni moja kati ya Ngoma zake ambazo nazielewa sana
Kiufupi namkubali sana JLO
 
Tumbaku ni hatari sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…