Makapuku Forum

Makapuku Forum

4569a89b7c8a38d8f4e9fda516aa7471.jpg
Zile penati za nchi gani aisee?
 
Leo katika Hostoria


1983 - Kunatokea machafuko nchini Sri Lanka yaliyojulikana kama " Black July " ambapo watu takribani 4000wanapoteza maisha na inasababisha kutokea kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.
12e7623297a09b3e3b95478435e5859c.jpg
5178a97b9efcf96d5dd0d85dec6d79ab.jpg
38e8c78ee993502e65b6e7b75bf48fa0.jpg

Pia yalojulikana kama Anti--Tamil Pogrom
Yaliongozwa na kikundi kilichojulikana kama The Liberation Tigers of Tamil Eelam...kilikuwa ni kikundi cha waasi/jeshi kilianza kwa kuwaua wanajeshi 13
......
 
Leo katika Historia

1969 - Jenifer Lopez anazaliwa.
Ni mwanamuziki mashuhuri toka.nchini Marekani ambae pia hujulikana kama " J-Lo "

Obe baadae nadhani jioni ndio itakuwa safi tukishatulia, ntaomba ngoma zake mbili tatu na Mimi pia naweka mmoja muda huu



Jennifer Lopez ft Fat Joe wimbo unaitwa hold you down
Happy birthday JLO


9af566c337695943e391ecc93573f3d7.jpg

Achana na Kim Kardashian au Katie Price (Jordan)
J.lo ni mmoja kati ya mastaa wa kike mapepe warembo na mapepe a.k.a cha wote
Ben Afleck,P.diddy na mastaa kibao wamepiga ...bila kuwasahau madansa wake
2933532b4f75b2a9ad4d9748212d8ea0.jpg

Filamu ya Anaconda ilimwonfezea umaarufu na pia kuingiza mkwanja wa kueleweka :
Jenny fFrom The Block
:
All I Have
.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom