shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Asanteni wadauAsante mkuu Shululu kwa vichwa vya habari za magazeti ya leo.
Thanks!
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo na sasa ni wakati wa leo katika historia
Asanteni wadauAsante mkuu Shululu kwa vichwa vya habari za magazeti ya leo.
Thanks!
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo na sasa ni wakati wa leo katika historia
Aisee waliuwawa wengi sanaLeo katika Hostoria
1983 - Kunatokea machafuko nchini Sri Lanka yaliyojulikana kama " Black July " ambapo watu takribani 4000wanapoteza maisha na inasababisha kutokea kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.
HBD Martin keownLeo katika Historia
1966 - Martin Keown anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Arsenal na Timu ya taifa ya England.
Leo katika Historia
1969 - Jenifer Lopez anazaliwa.
Ni mwanamuziki mashuhuri toka.nchini Marekani ambae pia hujulikana kama " J-Lo "
Obe baadae nadhani jioni ndio itakuwa safi tukishatulia, ntaomba ngoma zake mbili tatu na Mimi pia naweka mmoja muda huu
Jennifer Lopez ft Fat Joe wimbo unaitwa hold you down
Happy birthday JLO
RIP RobertLeo katika Historia
2012 - Robert Ledley anafariki Dunia.
Ni mgunduzi wa kifaa cha Ct Scan toka nchini Marekani.
Asante ankali kwa historiaAsanteni sana kwa kuwa pamoja nami. Niite Jimena Jimenes kwa udhamini wa blue Monday sina la zaidi
Tukutane tena hapo kesho
Ciao
Staa Bongo movie anaazima hadi nguo za ndani
Shukrani mdauView attachment 549013Sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa mkushi wa kusi nawatakieni wote jumatatu njema
Pamoja sana nduguView attachment 549013Sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa mkushi wa kusi nawatakieni wote jumatatu njema
Huu ujumbe mmhView attachment 549017Ujumbe wa leo