Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,287
- 35,677
Oh, nilijua kalike yangu! Mbona sasa hajalike yangu, au hajanimissNimemuona kalike post yangu
Oh, nilijua kalike yangu! Mbona sasa hajalike yangu, au hajanimissNimemuona kalike post yangu
Baba D hupatikaniki jamaan miss u moree my loveshunie mama D ...daaaaaaah i mis u alout mpaka nikawa na wasiwas usije kufwaaaaa



Hivi binamu we si ndio ulisema kuwa amefumaniwa..duh, bora umekuja anko! Maana kulikuwa na fitna humu humu kuwa umefumaniwa, mimi nilibisha sana nikawa nakutetea lakini unawajua wale unaopaswa uwaweke kwenye list ya wabaya wako
Itakuwa hamjamissiana kalike ya mwanae tuOh, nilijua kalike yangu! Mbona sasa hajalike yangu, au hajanimiss
haaaaaaaaaaaa nani kasema hivo kama sio shululu make ndo huwa mfitina wetu....ila wewe na wewe nina wasiwas na wewe..duh, bora umekuja anko! Maana kulikuwa na fitna humu humu kuwa umefumaniwa, mimi nilibisha sana nikawa nakutetea lakini unawajua wale unaopaswa uwaweke kwenye list ya wabaya wako
Hivi binamu we si ndio ulisema kuwa amefumaniwa
nilijuaaa huyu binamu nisipokuwepo lazima fitina zianze kwakee....kwanza husna yupo sumbawanga au mabiboHivi binamu we si ndio ulisema kuwa amefumaniwa
haaaaaaaaaaaa nani kasema hivo kama sio shululu make ndo huwa mfitina wetu....ila wewe na wewe nina wasiwas na wewe
Binamu naitwa shunie mie jamaan sio shumie naomba niwekee hiyo nyimbo ya shusho eeh Bwana..hakika sikumbuki kukisema hiki ulichoandika. Mimi nimwandike vibaya anko wangu, hivi unajua ndo aliniletea simu ya tachi?!
Yaani hapa naandaa list aweze kuiwekea sahihi tu, na kama kawaida jina langu halimo. Jina la kwanza kabisa linafanana na lako ila sio lako Shumie
binamu tushawahi kuvunjiana heshima na hekima ?..hakika sikumbuki kukisema hiki ulichoandika. Mimi nimwandike vibaya anko wangu, hivi unajua ndo aliniletea simu ya tachi?!
Yaani hapa naandaa list aweze kuiwekea sahihi tu, na kama kawaida jina langu halimo. Jina la kwanza kabisa linafanana na lako ila sio lako Shumie
Binamu yako obe ndio kasema hivyohaaaaaaaaaaaa nani kasema hivo kama sio shululu make ndo huwa mfitina wetu....ila wewe na wewe nina wasiwas na wewe
Kasema tena unakimbizwa na hiko kitambi chakonilijuaaa huyu binamu nisipokuwepo lazima fitina zianze kwakee....kwanza husna yupo sumbawanga au mabibo
nilijuaaa huyu binamu nisipokuwepo lazima fitina zianze kwakee....kwanza husna yupo sumbawanga au mabibo
Kuna dume limeshikwa umbea hadi hurumaAcha wakome tu
nisaidiee list ......aisee hisia kwako upande wa kwanza ziko sahihi, ila mimi umechanganya, mimi ndo nilikuwa nawapinga wote waliounga mkono kuwa umefumaniwa, fikiria kuna mmoja muhimu alisema ulikimbizwa boksa umeshika mkononi nguo umeziacha wapi sijui, ukakimbilia baharini, kweli?
Kasema tena unakimbizwa na hiko kitambi chako
shushoooooooooooooooBinamu naitwa shunie mie jamaan sio shumie naomba niwekee hiyo nyimbo ya shusho eeh Bwana
Shusho Baba Dshushooooooooooooooo

Wewe ndio binamu obe mpendwa wa husna naomba nyimbo mieDuh, mimi huyu huyu mpwae nimsemee mambo haya jamani! Kwanza jana nimeshinda simu haina chaji