Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Kazi kweli kweliNdo ivo
Wanaboa
Ulimbukeni + Ushamba & kick
......
Kazi kweli kweliNdo ivo
Wanaboa
Ulimbukeni + Ushamba & kick
......
Kila siku nasemaga humu, yaani wanaofurahia mimi kuwa na furaha siku nzima hakuna (labda wewe tu-tena ukiwa peke yako bila anko wangu)
Umeona sasa navyoitwa leo, eti mkuu! Jamani tuhurumiane mbona bado usiku haujachanganya

Very goodna akikuambia aseme kwa sauti nisikie, sitaki mchezo, ndo kwanza tuko wapya! Nimeamua kukaba hadi penati

Wadhamini wa Leo
Nawashukuru sana kwa kuwa hapa na zaidi kuendelea kuwa hapa, sasa tupate mapumziko kidogo ya wadhamini.
Na leo itakuwa ni different a bit as our own buddy, shedede is sponsoring this song, you can sing if you want as we don't talk anymore.
I hate to guess if this choice has something to do with him being shunned (not Shunie ) out with someone I am in elo o vii ii. NOMYB everyobody has their way to cope with stress. Enjoy
We uko chini?!Uko juu

Yeap![]()
![]()
na ww unapambana na hali yko eeeh
Lushoto hakuendesheki baiskeli... Ni up and down.
Vyema sana na mm na moenzi wangu tuko poa piaMi na mpendwa wangu tuko poa tu
Obe and Husna are made for each other... They are a natural 'pair'You and made for each other... Natural 'Match'
Wahenga tunasema"ukipendwa pendekaa"Woyoooooo mapenzi ya wahenga
Mapumziko Yanaendelea.
Baada ya kuwapata wadhamini wetu hebu tuburudike kidogo kwa kupata kinywaji cha baridi, offer hii inatoka kwangu mimi na husna muba , ukiagiza agiza kinywaji cha ndani (local brand) ukiagiza imported brand utajilipia
Tunakupenda sana mdau, na nikutakie usiku mwema