Makapuku Forum

Makapuku Forum

Lol! Yaani hujasoma title ukabaki kusikiliza tu nyimbo!!! Nimesema jmosi hii tucheze tu na sio masuala ya ujumbe.
Husna nishamuimbia sana tu na sasa hivi anaandaa smooth (sharubati) ya kiwi-lime, strawberry, coconut , na painapo
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
...mkuu tena? mimi mkuu au ? kweli leo umeamua kuniita mkuu kabisa jamani, mimi huyu niwe mkuu, kweli, aisee mimi mkuu! mimi huyu huyu niwe mkuu. Hivi leo jumangapi kwanza? nisijekuwa jumatatu nikawa mwalimu wa zamu nikamsumbua mkuu wa shule
[emoji23][emoji23][emoji23]binamu mke mwee kakuchoka anakuona mwalimu mkuu leo wooiiii
 
Back
Top Bottom