shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Uko juuNiko hapa,nambiee
Uko juuNiko hapa,nambiee
[emoji3] [emoji3] [emoji3] na ww unapambana na hali yko eeehMi najisubilia vya bure tu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kama vya mama Ashura au mpika chapati....yaani umeamua kumjibu, haya, hachelewi kuomba picha aone kama ina viungo
Ahsante utantembeza? mana miguu inawasha
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kama vya mama Ashura au mpika chapati
Haya kwa raha zakoNapunguza mawazo ya baba d jaman![]()
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]natamani baba d wangu ungekuepo usome
Atakuwa ndo mwenye gitaaWoiiiiiiiiii wewe ndio yupi hapo binamu
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hapo sawa ya kule yaishie kule kule
SawaWoyoooooo bure ni ghali
Nmesahau mke mweee cjui ilikuwa inahusu nn[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mama jj hongera hiyo veep
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mke mweeeee huo utani unaoendana na kweli ujue
UtAbaki na mm tu...na wewe unamuunga mkono anko wangu?
Hivi mimi humu nitabaki na nani wa kunisapoti jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mayonaise sio soda binamu...ha hahaha, hizi chipsi inaruhusiwa kunywa na fanta orange au mayonize ni soda?
Au ulikunywa maji MengiNinayekung'uta gitaa hapo hunioni? hii picha ilipigwa usiku sasa wamesafisha negative ikawa imeunguaungua naonekana kama mzungu kumbe sio
Mi na mpendwa wangu tuko poa tuMko poa?
Madame S
[emoji23][emoji23][emoji23]binamu me nakufurahia siku zote ujueKila siku nasemaga humu, yaani wanaofurahia mimi kuwa na furaha siku nzima hakuna (labda wewe tu-tena ukiwa peke yako bila anko wangu)
Umeona sasa navyoitwa leo, eti mkuu! Jamani tuhurumiane mbona bado usiku haujachanganya
NdioooUmefurahiiii mke mwee mwenyewe
Woyoooooo mapenzi ya wahengana akikuambia aseme kwa sauti nisikie, sitaki mchezo, ndo kwanza tuko wapya! Nimeamua kukaba hadi penati
Abeeeh mkee mwee nipo hapa nimeonaShunie