Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wadhamini wa Leo

Nawashukuru sana kwa kuwa hapa na zaidi kuendelea kuwa hapa, sasa tupate mapumziko kidogo ya wadhamini.
Na leo itakuwa ni different a bit as our own buddy, shedede is sponsoring this song, you can sing if you want as we don't talk anymore.

I hate to guess if this choice has something to do with him being shunned (not Shunie ) out with someone I am in elo o vii ii. NOMYB everyobody has their way to cope with stress. Enjoy


Sijaambua kitu miee
 
Ndo hivyo
Pia mi hata nifahamiane vipi na mtu mambo yetu ya nje ya Jf huishia huko huko na hata apate janga mfano kufariki simwanzishii thread au thread ikiletwa sitasema mambo yoyote kumuhusu hata jina lake halisi wala picha na hata yakitokea magumashi nauchuna tu

Mambo yangu binafsi na mtu yatabaki kuwa binafsi
.......
Ndio inavyotakiwa na kuhusu swala la raimundo sio wengi walioombwa msaada na kutoa ni kumi kwa mmoja wengine fata upepo tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom