Makapuku Forum

Makapuku Forum

...mkuu tena? mimi mkuu au ? kweli leo umeamua kuniita mkuu kabisa jamani, mimi huyu niwe mkuu, kweli, aisee mimi mkuu! mimi huyu huyu niwe mkuu. Hivi leo jumangapi kwanza? nisijekuwa jumatatu nikawa mwalimu wa zamu nikamsumbua mkuu wa shule
[emoji3] [emoji3] [emoji3] najua ucvolipenda hlo neno nmekunyoosha
 
Kila siku nasemaga humu, yaani wanaofurahia mimi kuwa na furaha siku nzima hakuna (labda wewe tu-tena ukiwa peke yako bila anko wangu)

Umeona sasa navyoitwa leo, eti mkuu! Jamani tuhurumiane mbona bado usiku haujachanganya
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom