Makapuku Forum

Makapuku Forum

because-of-you-gif-justin-bieber-sexy-singing-Favim.com-368638.gif
 
Ebu tumuacheni tu kwakweli kama kuna waliotapeliwa watajua wenyewe na ujinga wao kumwamini mtu kwa avatar fake na id fake
Ndo hivyo
Pia mi hata nifahamiane vipi na mtu mambo yetu ya nje ya Jf huishia huko huko na hata apate janga mfano kufariki simwanzishii thread au thread ikiletwa sitasema mambo yoyote kumuhusu hata jina lake halisi wala picha na hata yakitokea magumashi nauchuna tu

Mambo yangu binafsi na mtu yatabaki kuwa binafsi
.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom