Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Labda anataka kuvumbua dhahabu ati[emoji15] [emoji15] [emoji15] kwani we unajionaje sio mzungu huu ujio wako mpya sio wa mchezo mchezo sijui unataka kuvumbua nini
Labda anataka kuvumbua dhahabu ati[emoji15] [emoji15] [emoji15] kwani we unajionaje sio mzungu huu ujio wako mpya sio wa mchezo mchezo sijui unataka kuvumbua nini
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Kwani yuko api binamu ebu niambie sikusemei ujue si unajua ninavyokupenda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji134] [emoji134] uongo wako huo Obe me naongeaga kinyaki na kikinga mm na vingereza wapi na wapi
Wataotaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Baadaye tutapata muziki wa wadhamini wetu, najua shedede uliomba wimbo na umenitoka, ikiwa hutojali nikumbushe tena, the thing is, uliomba kiinglish na mimi unajua kabisa leo Ijumaa nakula safari lager naongea kipolisi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]elfu tatu hela au miaka?
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Binamu nakugawa kwa mpendwa wako husna muba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akugawe kwa mama bh ati!..wewe naye bhana, wakati mwingine hata nakushangaa. umeshindwa kunigawa kule kutulivu?
Kwa Husna nimejigawa mwenyewe, usinigawe
Hapo umemfuraishaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi nakugawa kwa mama mchuchu binamu
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]...hakyanani haya sijayasema mimi, akija hapa mimi mnyonge wake ndo nitaambiwa nimeyasema. Naamimi mashahidi wapo kuwa wewe ndo umesema
Ila sina hakika kama kuna hata mmoja atakuwa upande wangu
Alifumaniwa kwa mdogo wake mama ashura?!Mimi nilisema tu kuwa alikimbizwa basi nikaishia hapo, na uzuri alikuwa anakimbia kurudi nyumbani boksa kashikiria mkono wa kushoto, shati na suruali sijui aliviacha wapi?
Nikiona VP nitajigawa kwa madenge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mpendwa wa binamu hana chake
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Umeanza, hivi mbona hupendi kuniona ninafuraha jamani, mpendwa wangu ndo president wengine wote ni residents tu.
Ohoooo.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu mpendwa wako siku mbili hizi yupo busy au bitoz kamficha mabibo kwake
[emoji4] [emoji4] my beloved...mwaka huu wangu, niache tu. Nimepatikana na sina jinsi.
Najisikia kumwambia anko twende kwa mganga akanioshe nyota
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]ndo hivyo sas, na nikiongea ananisemea kwa anko wangu basi wote wananishambulia hata kama ninamsaidia. Aunt yangu muache tu
Duu!!hajajikwaa, alikimbilia baharini, si unajua sisi wenye vitambi huwa hatuzami? Sasa hiyo ndo pona pona yake. Anko wangu yuko smart sana, yaani kakimbizwa toka Mbezi hadi kunduchi karibu na kota za polisi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]... wewe huwapendi? Unapenda madokta?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...kwa kuwa umesema wewe kuwa kafumaniwa, basi itakuwa kafumaniwa kweli. Akija muulize na usisahau kunitag