shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Haaaaahaaaa, nimekuelewa shemela[emoji3][emoji3]me nimependa rangi tu sio vingine ujue
Haaaaahaaaa, nimekuelewa shemela[emoji3][emoji3]me nimependa rangi tu sio vingine ujue
Hcho kitakuwa kisafwa Obeha hahahahaha, naweza nisiwe najua kukiongea ila kukisoma najua, maana huwa nasoma maneno mara sister, oh my brother sijui home. Hayo maneno ni ya kinyaki na kikinga haya jamani? Au wakinga na wanyaki wa Londoni
AiseeAmeshawaonyesha![]()
Bora kumsubiri mbududa tu,amekuwassap kwenye no ya dogo[emoji3] [emoji3] [emoji3]sio vya screenshot vya maneno ila vifupi unakumbuka yule mdada aliyekua anatuwekea screenshot ndio vipo vile ufupi ufupi
Afande shedede niajeGood evening every body here,
Real missed you my friends
-obe
-lee empire
-husna muba
-shunie
-shimba ya buyense-hey my brother whetever you are many greating to you.
-mzeewakungoa
-shululu
-tumosa
-mndalindanyekokamu
And all who are not in the list.....
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
post using my macbook air using jamiiforums app
Niwekee kwanza nyimbo yangu ndio nitakwambia pa kukugawa binamu yanguUnajua pa kunigawa aunt yangu
Heshima yko baba watotoHaaaaahaaaa, nimekuelewa shemela
Muzungu ya sumbawanga [emoji3] [emoji3]Binamu si unajua tuna muzungu kapuku shedede mwenyewe
Muziki: Simba Akinyeshewa Usidhani Paka
Ni muda mzuri mheshimika sana Kapuku mwenzangu ambaye siku ya leoo Ijumaa, TGIF nachelea kusema sijachelewa kukusalimia. Unajua kabisa ni lazima nikusalimie maana wewe ni member muhimu humu na unalifanya jukwaa hili kuwa zuri sana. asante kapuku wewe unayejitolea muda na resources zako nyingine kulifanya jukwaa hili liwe Jukwaa la kushindanishwa na majukwaa mengine. KF haijitangazi, inatangazwa na sababu ni kuwa wewe upo hapa. Endelea kuweka input tuwe wa kipekee.
Naamini tumekuwa na wakati mzuri, binafsi mambo ya casual friday ndo ilikuwa na hadi muda huu bado niko naifurahia Ijumaa, unaweza usifanye kama mimi maana tunatofautiana muda, mtaji na wanaotuzunguka. TL sasa hivi amezungukwa na manjagu amehakikishiwa usalama wake. Kuna mambo sio ya kuchekea, kwa sababu huwa hayaishii kwa mtu mmoja tu, wakimaliza kwake watakuja kwa jirani yako na kisha watakuja kwako, kondoo hasifiki kwa upole.
Muziki sasa, leo tumekuwa na mengi humu, asanteni sana kwa wote mliotuamsha kwa kila kipengele, na zaidi asante kwa wote mliochangia kwa kila kimoja iwe kwa kusoma au kuandika. Kusema asante nakurudisha miaka michache nyuma wakati ambapo muziki wa studioni ndo unatamba na zipo nyimbo zilizobamba wahenga wa leo hadi nyie wahenga wa kesho.
Muziki utajieleza zaidi
Nakupenda kapuku mwenzangu maana unalifanya jukwaa hili kuwa mahala pazuri pa kutembelea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baadaye tutapata muziki wa wadhamini wetu, najua shedede uliomba wimbo na umenitoka, ikiwa hutojali nikumbushe tena, the thing is, uliomba kiinglish na mimi unajua kabisa leo Ijumaa nakula safari lager naongea kipolisi
Aisee..Sasa mbona anatoka na demi
Shemela umeanza na uchochezi jamanHaaaaahaaaa, nimekuelewa shemela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mke mweeHcho kitakuwa kisafwa Obe
Kama wakina jj wenu shemela [emoji4]Aisee
Niwekee kwanza nyimbo yangu ndio nitakwambia pa kukugawa binamu yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilimpa no ya dogo aisee naona uvivu kusoma jamaan ngoja mbududa kesho aendelee tu sielewi kule ndio mambo ya elf 3 yapo vile me yamenishindaBora kumsubiri mbududa tu,amekuwassap kwenye no ya dogo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wadhamini Wetu
Imekuwa ni siku ya taratibu leo humu jukwaani, hakuna ubaya, kila siku na siku yake. Kuna siku unapata na kushinda na kuna siku unakosa na kushindwa. Hii ndo inaitwa Nikomele
Asante Shunie kwa chaguo hili ambalo japo naona u-USA mwingi bado wamependeza sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilimpa no ya dogo aisee naona uvivu kusoma jamaan ngoja mbududa kesho aendelee tu sielewi kule ndio mambo ya elf 3 yapo vile me yamenishinda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akitokea kwa ras simba muzungu wa kapukuMuzungu ya sumbawanga [emoji3] [emoji3]