shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
My love[emoji124] [emoji124] [emoji124] ngoja niende,hvo vipande vikoje mke mweee ni screenshort au
My love[emoji124] [emoji124] [emoji124] ngoja niende,hvo vipande vikoje mke mweee ni screenshort au
Binamu nakugawa kwa mpendwa wako husna mubaMbona nishaweka longi sana, au simu yako memory ndogo, kufungua kideo wiki nzima😀
😀haka ndo kaemoj pekee nilikonako kwenye simu yangu. Msione nakatumia sana, sina uchaguzi
Hela binamu jamaan ya kwenye story hukoelfu tatu hela au miaka?
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] binamu yangu mimi apa na baba d santeeeeeeeee
Maskini..pole mwaya.Ngoja niweke list vzr..Fremzero
Ukhuty
Paprika
Valentina
Demi
Wengi sana
Mwenyewe nimemmiss my love wangu jaman msinifanyie hivyo basMy love
Binamu nakugawa kwa mpendwa wako husna muba
Sikuwahi kuiona hiiDemi wangu mke mdogo leo nalala kwa mke mkubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ule ubonge na mkitambi wake hivi hajajikwaa kweli baba d binamu acha aende tu lakini mwisho wa siku binamu anarudi nyumbaniAsante kushukur aunt, baba D kakimbia sana leo uliposema afanye mazoezi akaenda kule (sipataji usije ukaninyima ile safari) bila taarifa sasa kakimbizwa sana. ila anko wangu ana mbio jamani, sijui ndo ngedere wamempa mazoezi😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi nakugawa kwa mama mchuchu binamu..wewe naye bhana, wakati mwingine hata nakushangaa. umeshindwa kunigawa kule kutulivu?
Kwa Husna nimejigawa mwenyewe, usinigawe
Mbududa atatuwekea tuendlee kuvuta subira[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilimpa no ya dogo aisee naona uvivu kusoma jamaan ngoja mbududa kesho aendelee tu sielewi kule ndio mambo ya elf 3 yapo vile me yamenishinda
Aisee..
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mke mwee
Kwakweli mama jj tumsubili tu mbududaMbududa atatuwekea tuendlee kuvuta subira
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ule ubonge na mkitambi wake hivi hajajikwaa kweli baba d binamu acha aende tu lakini mwisho wa siku binamu anarudi nyumbani
Poaaa..mambo yako?Niambie Demi wa mond..
Binamu usikwepe jamaan umeyasema wewe mwenyewe...hakyanani haya sijayasema mimi, akija hapa mimi mnyonge wake ndo nitaambiwa nimeyasema. Naamimi mashahidi wapo kuwa wewe ndo umesema
Ila sina hakika kama kuna hata mmoja atakuwa upande wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi nakugawa kwa mama mchuchu binamu