Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...hata mimi sijasema?
Sasa vipi akija nimuulize kwa niaba yako halafu nikutag?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...hata mimi sijasema?
Sasa vipi akija nimuulize kwa niaba yako halafu nikutag?
Nawe pia na asante kwa magazetiView attachment 547786Nawatakieni wote siku njema
Duu![]()
![]()
![]()
Yeye pamoja na akina Pretty boy Floyd na Baby face Nelson waliisumbua sana Marekani
Ila Mkurugenzi wa FBI Edgar J Hoover akafanikiwa kuwatuliza kimyakimya mmoja baada ya mwingine
......
![]()
![]()
Alifariki 1993 akiwa na miaka 44
.....
NimekulipiziaaaWw mwanamke hutunzi siri
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Poa nishamaliza kupitia viporo pa kucheka pa kusmile [emoji4] na mm nikaangusha langu basiHakuna mapost mengi
Yaani tambarareeee
Lee ana majukumu yamembana pia wengi wapo bize kutafuta mawe
Hakuna Sakayo
Hakuna Lee
T anaingia kwa kusuasua
Tumusa nae kwa kuvizia
Nyagei hasomeki
Shumie ana mida yake
Mama Mchungaji sijui kapatwa na mini
Mukongo nasikia kapata mzungu kwenda Ulaya
Shedele labda katekwa na mtu yule
Mzee wa kungoa labda keshangoa demu humu now kapotea
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivyo wiki hii ni ya ubize
......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] usawa Wa magu huuMagazeti ya udaku yanatafuta wateja kwa nguvu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.....
Da kweli banaa mungu mkubwa sanaCongrats Happiness Mages
Kweli tusikate tamaa katika maisha
....
Kapisa[emoji735]Safi kapisa brother, Habari za ww?
Si ndio hapo saasaAhsanteeee Dada yanguu mwenyewe Wanataka niwe na miaka 30s ndo wanione mkubwa..
Baadaye bhanaPoa nishamaliza kupitia viporo pa kucheka pa kusmile [emoji4] na mm nikaangusha langu basi
Kapuku frm ni buruuudani mworooooro kabisaa ndio maana huwa sipendagi kupitwa na kitu
Hujachinja bata nije kunywa supu??!!
Nko poa Queen monica washabwaga vitu umepitaPoa tu
VP wewe mama JJ
Asante kushukuru
Poa vipiHabari ya weekend wapendwa wangu
Tupo BitozBaadaye bhana
Wasipoibuka tupotee & tupumzike tu kwa raha zetu hadi jioni/usiku
Week end njema
.......
Baadaye bhana
Wasipoibuka tupotee & tupumzike tu kwa raha zetu hadi jioni/usiku
Week end njema
.......
OK nawe pia jioni tukutane coco beach tukale upepo kidogoBaadaye bhana
Wasipoibuka tupotee & tupumzike tu kwa raha zetu hadi jioni/usiku
Week end njema
.......