Makapuku Forum

Makapuku Forum

hajajikwaa, alikimbilia baharini, si unajua sisi wenye vitambi huwa hatuzami? Sasa hiyo ndo pona pona yake. Anko wangu yuko smart sana, yaani kakimbizwa toka Mbezi hadi kunduchi karibu na kota za polisi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ukibonge ule na kitambi chake binamu mtaniulia mume jaman kwani alifumaniwa huko jaman au
 
Binamu si unajua vile nakupenda shemela shululu ni mchochezi

...ukisema hivyo najisikia vizuri. Ni kweli maana ni wewe tu hapa ndo huwa unaniunga mkono kwenye mambo mazuri.
sema tu wakati mwingine huwa nakuudhi sababu ya amaneno ya watu
 
...ukisema hivyo najisikia vizuri. Ni kweli maana ni wewe tu hapa ndo huwa unaniunga mkono kwenye mambo mazuri.
sema tu wakati mwingine huwa nakuudhi sababu ya amaneno ya watu
Hayo maneno ya watu binamu hayanisumbui ujue nimeshayozoea mie nakupenda binamu yangu jaman
 
Back
Top Bottom