Makapuku Forum

Makapuku Forum

He he life's too short bana jichekee tu mzungu wetu mwenyewe mzee wa usa baby no stress hapa umeshuka mwenyewe shedede kutoka kwa ras simba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woh! I never know you're so fun like this thenk you dear..!

post using my macbook air using jamiiforums app
 
....unajua leo nimepiga casual, huo wimbo unachezeka?
Mjomba akirudi atatoa sababu kibao ilhali Mimi nimemuona mahali akaniishara ninyuti
Binamu unachezeka taratibu ila ni mzuri

Hakuna zawadi nzuri kama upendo hakuna ahadi nzuri kama vitendo ww nijari hata nikiwa sina hili hali ata nikiwa jina

Kila nikiwaza unanifanya me nikose nakosa raha kwa vile nakudata unanifanya niwe mnyonge naumia

Binamu maneno hayo niwekee mie jamaan
 
Ngongo komela ndani kwa ndani nikomele,oooh ohhhho!!
Kila nikiwaza unanifanya nikonde nakosa raha, navile nakudata....
Shuni malizia.

Back
Top Bottom