Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,386
- 110,095
Safi tu
I miss you my Dear DPoaaa..mambo yako?
I miss you my Dear DPoaaa..mambo yako?
Binamu usikwepe jamaan umeyasema wewe mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mpendwa wa binamu hana chake
Kwahiyo ameporwa baba d au ndio aliamua kujiteka na mdogo wa mama ashura binamu jamanMimi nilisema tu kuwa alikimbizwa basi nikaishia hapo, na uzuri alikuwa anakimbia kurudi nyumbani boksa kashikiria mkono wa kushoto, shati na suruali sijui aliviacha wapi?
Za kushinda mama watoto wanguHeshima yko baba watoto
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Shemela umeanza na uchochezi jaman
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mpendwa wa binamu hana chake
Shemela wangu kwenye ubora wako kabisa[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Binamu yako anapenda sana kukuona unaongeaMbona nishaweka longi sana, au simu yako memory ndogo, kufungua kideo wiki nzima😀
😀haka ndo kaemoj pekee nilikonako kwenye simu yangu. Msione nakatumia sana, sina uchaguzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu mpendwa wako siku mbili hizi yupo busy au bitoz kamficha mabibo kwakeUmeanza, hivi mbona hupendi kuniona ninafuraha jamani, mpendwa wangu ndo president wengine wote ni residents tu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Asante kushukur aunt, baba D kakimbia sana leo uliposema afanye mazoezi akaenda kule (sipataji usije ukaninyima ile safari) bila taarifa sasa kakimbizwa sana. ila anko wangu ana mbio jamani, sijui ndo ngedere wamempa mazoezi😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu mpendwa wako siku mbili hizi yupo busy au bitoz kamficha mabibo kwake
Umemsikia binamu [emoji3] [emoji3]Mwenyewe nimemmiss my love wangu jaman msinifanyie hivyo bas
Ndio umeionaSikuwahi kuiona hii
Shemela wangu ujue nimevuta picha na kitambi cha baba d jaman hivi hajajikwaa kweli alivyokua anakimbia[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi anko wako anapenda waganga eeh binamu...mwaka huu wangu, niache tu. Nimepatikana na sina jinsi.
Najisikia kumwambia anko twende kwa mganga akanioshe nyota
Binamu yako anapenda sana kukuona unaongea
Nimemsikia shemela jamanUmemsikia binamu [emoji3] [emoji3]
Haaaaahaaaa
AiseeMimi nilisema tu kuwa alikimbizwa basi nikaishia hapo, na uzuri alikuwa anakimbia kurudi nyumbani boksa kashikiria mkono wa kushoto, shati na suruali sijui aliviacha wapi?