Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Ndio haya yenye vitu vya thamani ndani yake is it?
Ndio haya yenye vitu vya thamani ndani yake is it?
Leo katika Historia
1979 - Luke Young anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Uingereza.
Mkuu wa mkoa wa Moshi kulikoni?
Na Hispania ni Takukuru ndio wameshtukia huo mchongo wa prezidaa wa FA au imefanyikaje?
Litakuwa na udhamini wa KoreaHili gazetii jamaniii haliishiwa taarifa za korea![]()
Leo katika Historia
1971 - Vitali Klitschko anazaliwa.
Ni bondia mahiri toka nchini Ukraine. Pia ni mwanasiasa.
Leo katika Historia
1979 - Luke Young anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Uingereza.
Happy birthday to allLeo katika Historia
1981 - Nene anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Brazil.
Keshavurugwa tayari chezea madaraka wwMkuu wa mkoa wa Moshi kulikoni?
Ya leo ni fupi na tamuLeo sina mengi sana tukutane kesho hapahapa muda kama huu kwa Udhamini wa nguvu wa Marekani na vikwazo zaidi huko Iran
Naitwa Jimena Jimenes a k a JJ
Adios Amigo
Naona mnaelewana wenyeweEvery tng is guuudaaa
bouu mi nuh truss deh bredren deh kaaz u a bag o wire.”

Na kwako pia kiongoziMorning wadau
Nafikiri mpo swsaf kiafya na mifukoni kumejaa mawe
Niwatakie siku njema
....
Tupo good kijana vipi weweNiaje mazeee
Hope mko good!!
We mawanamke ushamaliza kusugua sufuria uliyopikia kande jana?
Nyanyuka mkekani nenda kajipodoe
Nataka nikuibukie
![]()
![]()
![]()
......
Leo katika Historia
1981 - Nene anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Brazil.
Nimeipenda hiiUSIYO YAJUA KUNUHUSU 2PAC AMUR SHAKUR.
1: alipouawa mwili wake uliteketezwa kwa moto.
Hiyo niKwa mujibu wa tamaduni zao, cha ajabu wafuasi wake wa "outlaw's " walichukua majivu yake wakachanganya na bangi wakavuta kw raha zao!.
2: Neno lake la mwisho kulisema kabla ya kifo chake ni neno F*ck you! alilomuambia askari aliemuuliza ni nini kilikua kimemtokea.
03: kinywaji chake alichokipenda zaidi 2pac ilikua fanta Orange. Alishawahi kuwafukuza baadhi ya wafuasi nyumbani kwake kwasababu walikua wanammalizia soda zake.
04: Akiwa mtoto Mdogo akimkosea mama yake alikua akipewa gazet la new york times alisome mbele ya mama yake.
05: licha ya Kua mwanafamilia nguli wa "west coat" chakushangaza ni kwamba tupac alizaliwa new york ambako ni east coast.
06: Alishawahi Kua na mahusiano ya malovedove na msanii MADONA.
Uhusiano huo ulivunjika kutokana tupac kudharaulika eti kwnn Madonna awe na mpenzi mweusi ambae ni tupac. Hivyo tupac akaona sio kesi akajikataa na kumuacha mzungu wa watu Madonna.
07: kwa mujibu wa gazeti la times, mahasimu wa tupac B.I.G na p.diddy walijua Kua tupac angekufa wiki moja kabla ya kifo chake. Madai hayo yalikanushwa na FBI. Meneja wa tupac SUGE KNIGHT nae pia alishawahi kuhusishwa na kifo cha msanii huyo nguli wa hiphop na muasisi wa kufunga vilemba kichwani.
08: Aliwahi kuandika wimbo wa dear mama akiwa jela. Mama yake nae alishawahi kufungwa jela .
09: kwenye wimbo wake wa me" and my girlfriend ", alichozungumzia ni bunduki yake na si mpenzi km inavyojulikana.
10: Alijaribu maisha ya jela kabla hajazaliwa kwn mama yake alifungwa jela akiwa na ujauzito wa 2pac. Alifungwa kw kosa la ulipuaji wa mabom na makosa mengine ya jinai......
Mwisho.........
.![]()
Kwema kabisa madamJamani kwema hapa
Sawa mdauNa kwako pia kiongozi
Hivi aliachana na chama chake?Keshavurugwa tayari chezea madaraka ww
Wakiwa tayari kuliwa utujuzeSawa mdau
Ngoja nirudi bandani nilishe bata
![]()
![]()
![]()
.....