shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Wanajua ila sema tu wanajitoa ufahamuIli gazeti halijui linachoandika
Marekani hawajashindwa kuishambulia korea
Tatizo ni Urusi na china hapa sio korea kuitisha marekani
Wanajua ila sema tu wanajitoa ufahamuIli gazeti halijui linachoandika
Marekani hawajashindwa kuishambulia korea
Tatizo ni Urusi na china hapa sio korea kuitisha marekani
Morning too, uko poa lakiniMorning wadau
Nafikiri mpo swsaf kiafya na mifukoni kumejaa mawe
Niwatakie siku njema
....
WowUmeisummarize uzuri sana, na umenikumbusha mbali. Asante Husna, nimeipenda mpenzi
Nzuri Nyagei, za pande hizoGood morning Kapuku's family
Bonjour Kapuku's family
Bom dia Kapuku's family
Habarini za asubuhi Makapuku
Hongera sana kwa 244KUsicheke shem wane
Nzuri mkuuMr shululu habari yako mkuu
Lazima aone ubavu wake kwanza, wengine baadayeTusalimianeee
HaaaaahaaaaWe mawanamke ushamaliza kusugua sufuria uliyopikia kande jana?
Nyanyuka mkekani nenda kajipodoe
Nataka nikuibukie
![]()
![]()
![]()
......
Mzungu huyoShedy
Kwema kabisa, za kwakoJamani kwema hapa
Utajuaje na yeye kama yupoMkuu wa mkoa wa Moshi kulikoni?
Morning toz me nko safi hofu kwakoMorning wadau
Nafikiri mpo swsaf kiafya na mifukoni kumejaa mawe
Niwatakie siku njema
....
Hata angeandka madudu ungeyakubali hvohvoUmeisummarize uzuri sana, na umenikumbusha mbali. Asante Husna, nimeipenda mpenzi
Hbr ya cku nyingi shemu waneYes my lovely shem!
SwalamaaaGood morning Kapuku's family
Bonjour Kapuku's family
Bom dia Kapuku's family
Habarini za asubuhi Makapuku
My love
Hapo sasa, afadhali na wewe umeliona hilo mama watoto wanguNakuona unajimilikisha mwanetu kinyemela wazazi na walezi wake tupo ujue