USIYO YAJUA KUNUHUSU 2PAC AMUR SHAKUR.
1: alipouawa mwili wake uliteketezwa kwa moto.
Hiyo niKwa mujibu wa tamaduni zao, cha ajabu wafuasi wake wa "outlaw's " walichukua majivu yake wakachanganya na bangi wakavuta kw raha zao!.
2: Neno lake la mwisho kulisema kabla ya kifo chake ni neno F*ck you! alilomuambia askari aliemuuliza ni nini kilikua kimemtokea.
03: kinywaji chake alichokipenda zaidi 2pac ilikua fanta Orange. Alishawahi kuwafukuza baadhi ya wafuasi nyumbani kwake kwasababu walikua wanammalizia soda zake.
04: Akiwa mtoto Mdogo akimkosea mama yake alikua akipewa gazet la new york times alisome mbele ya mama yake.
05: licha ya Kua mwanafamilia nguli wa "west coat" chakushangaza ni kwamba tupac alizaliwa new york ambako ni east coast.
06: Alishawahi Kua na mahusiano ya malovedove na msanii MADONA.
Uhusiano huo ulivunjika kutokana tupac kudharaulika eti kwnn Madonna awe na mpenzi mweusi ambae ni tupac. Hivyo tupac akaona sio kesi akajikataa na kumuacha mzungu wa watu Madonna.
07: kwa mujibu wa gazeti la times, mahasimu wa tupac B.I.G na p.diddy walijua Kua tupac angekufa wiki moja kabla ya kifo chake. Madai hayo yalikanushwa na FBI. Meneja wa tupac SUGE KNIGHT nae pia alishawahi kuhusishwa na kifo cha msanii huyo nguli wa hiphop na muasisi wa kufunga vilemba kichwani.
08: Aliwahi kuandika wimbo wa dear mama akiwa jela. Mama yake nae alishawahi kufungwa jela .
09: kwenye wimbo wake wa me" and my girlfriend ", alichozungumzia ni bunduki yake na si mpenzi km inavyojulikana.
10: Alijaribu maisha ya jela kabla hajazaliwa kwn mama yake alifungwa jela akiwa na ujauzito wa 2pac. Alifungwa kw kosa la ulipuaji wa mabom na makosa mengine ya jinai......
Mwisho.........
.