Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji117] Ikulu ya Marekani yathibitisha kuwa Rais Donald Trump alifanya mazungumzo ya ya siri na Rais Vladmir Putin wa Urusi, wakati wa mkutano wa viongozi wa nchi zilizoendelea Kiuchumi-G20.

[emoji117] Viongozi wa Kiislamu nchini Uingereza wameonya kuwa mashambulizi ya chuki yanayofanywa dhidi ya Uislamu yamekuwa yakiongezeka.

[emoji117] Serikali ya Uganda kupitia wizara ya afya, inakusudia kuanzisha kifaa kinachomruhusu mtu kujipima virusi vyinavyosababisha UKIMWI.
 
Magazeti soon tuyapitie kwa usaidizi wa shululu. ...
6347be690811bf2ee1d9c31a61bb5e68.jpg
 
Back
Top Bottom