Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Morning anko akeMorning ankali
Halafu nakutafuta kuliko shilingi tano ya sarafu
Morning anko akeMorning ankali
Asante pachaaaLeo sina mengi sana tukutane kesho hapahapa muda kama huu kwa Udhamini wa nguvu wa Marekani na vikwazo zaidi huko Iran
Naitwa Jimena Jimenes a k a JJ
Adios Amigo
Nipo ankali wanguMorning anko ake
Halafu nakutafuta kuliko shilingi tano ya sarafu
Good morning aunt yake leeGood morning ankali
Hii ikiwekwa bongo itafilisika maana watu wanaweza kutoka hadi mikoani

Asante ...Asante kwa hadithi, UF na dondoo za BBC
Noo niliwahi mapema kuyapitiaAsante kwa magazeti..... Halafu nilivyoona umepost magazeti nilidhani Shululu labda hayupo
Asantee auntNi matumaini yangu kuwa wote hamjambo na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku.
Karibuni kwenye Leo katika historia ambayo italetwa nami Jimena Jimenes JJ kwa udhamini wa Marekani na vikwazo vipya huko Iran
Karibuni sana
Happy birthdayLeo katika Historia
1981 - Nene anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Brazil.
MornMorning shem kipenziiiii
Jana umeadimikaa
SawaNoo niliwahi mapema kuyapitia
Morning my swiriNi matumaini yangu kuwa wote hamjambo na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku.
Karibuni kwenye Leo katika historia ambayo italetwa nami Jimena Jimenes JJ kwa udhamini wa Marekani na vikwazo vipya huko Iran
Karibuni sana
Uwe na siku njema nikupendayeLeo sina mengi sana tukutane kesho hapahapa muda kama huu kwa Udhamini wa nguvu wa Marekani na vikwazo zaidi huko Iran
Naitwa Jimena Jimenes a k a JJ
Adios Amigo

AsanteeeUSIYO YAJUA KUNUHUSU 2PAC AMUR SHAKUR.
1: alipouawa mwili wake uliteketezwa kwa moto.
Hiyo niKwa mujibu wa tamaduni zao, cha ajabu wafuasi wake wa "outlaw's " walichukua majivu yake wakachanganya na bangi wakavuta kw raha zao!.
2: Neno lake la mwisho kulisema kabla ya kifo chake ni neno F*ck you! alilomuambia askari aliemuuliza ni nini kilikua kimemtokea.
03: kinywaji chake alichokipenda zaidi 2pac ilikua fanta Orange. Alishawahi kuwafukuza baadhi ya wafuasi nyumbani kwake kwasababu walikua wanammalizia soda zake.
04: Akiwa mtoto Mdogo akimkosea mama yake alikua akipewa gazet la new york times alisome mbele ya mama yake.
05: licha ya Kua mwanafamilia nguli wa "west coat" chakushangaza ni kwamba tupac alizaliwa new york ambako ni east coast.
06: Alishawahi Kua na mahusiano ya malovedove na msanii MADONA.
Uhusiano huo ulivunjika kutokana tupac kudharaulika eti kwnn Madonna awe na mpenzi mweusi ambae ni tupac. Hivyo tupac akaona sio kesi akajikataa na kumuacha mzungu wa watu Madonna.
07: kwa mujibu wa gazeti la times, mahasimu wa tupac B.I.G na p.diddy walijua Kua tupac angekufa wiki moja kabla ya kifo chake. Madai hayo yalikanushwa na FBI. Meneja wa tupac SUGE KNIGHT nae pia alishawahi kuhusishwa na kifo cha msanii huyo nguli wa hiphop na muasisi wa kufunga vilemba kichwani.
08: Aliwahi kuandika wimbo wa dear mama akiwa jela. Mama yake nae alishawahi kufungwa jela .
09: kwenye wimbo wake wa me" and my girlfriend ", alichozungumzia ni bunduki yake na si mpenzi km inavyojulikana.
10: Alijaribu maisha ya jela kabla hajazaliwa kwn mama yake alifungwa jela akiwa na ujauzito wa 2pac. Alifungwa kw kosa la ulipuaji wa mabom na makosa mengine ya jinai......
Mwisho.........
.![]()
Kumbe we ndio shemeji yaaanguUwe na siku njema nikupendaye![]()