Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,266
Huyo binamu hana ubongo?Wewe kama unaunga kiwikoo bhasi fanya hivo...
Kwani mapenzi ni kuhudumia kila kitu ...huyu ata bado anamzengua binamu yangu
Kama ameridhika na mzigo ahudumie
Huyo binamu hana ubongo?Wewe kama unaunga kiwikoo bhasi fanya hivo...
Kwani mapenzi ni kuhudumia kila kitu ...huyu ata bado anamzengua binamu yangu
Huyu nae utamuweza huyuuUnataka nani aambiwe kama sio sisi mkuu
Noo am just making some tng clear ....I know you very well and any tng can happen ma nigma nig are you going crazy?
post using my macbook air using jamiiforums app
Ok let me check it!Just around bro
Check your mailbox
Thubutuu mim ukila changu unaliwaaaaHuyu nae utamuweza huyuu
Ye mwenyewe anachunwa balaa
Anajishaua tu hapo

Ila vizur leo umeskip
skuskip nilisoma kimya kimya bila kuquote viporoWewe kama unaunga kiwikoo bhasi fanya hivo...
Kwani mapenzi ni kuhudumia kila kitu ...huyu ata bado anamzengua binamu yangu

Evry ting gud?Noo am just making some tng clear ....I know you very well and any tng can happen ma nig
what a tng ma nig



ShedyEvry ting gud?
Wagwan bway..!
U so fun,u make me Lough in loudly thanks![]()
post using my macbook air using jamiiforums app
Ili gazeti halijui linachoandikaUsikute Kuna mwandishi yuko Pyongyang
Hujambo?Ili gazeti halijui linachoandika
Marekani hawajashindwa kuishambulia korea
Tatizo ni Urusi na china hapa sio korea kuitisha marekani
Every tng is guuudaaaEvry ting gud?
Wagwan bway..!
U so fun,u make me Lough in loudly thanks![]()
post using my macbook air using jamiiforums app
Himself mbona utajikokiiiiShedy
Umeisummarize uzuri sana, na umenikumbusha mbali. Asante Husna, nimeipenda mpenziUSIYO YAJUA KUNUHUSU 2PAC AMUR SHAKUR.
1: alipouawa mwili wake uliteketezwa kwa moto.
Hiyo niKwa mujibu wa tamaduni zao, cha ajabu wafuasi wake wa "outlaw's " walichukua majivu yake wakachanganya na bangi wakavuta kw raha zao!.
2: Neno lake la mwisho kulisema kabla ya kifo chake ni neno F*ck you! alilomuambia askari aliemuuliza ni nini kilikua kimemtokea.
03: kinywaji chake alichokipenda zaidi 2pac ilikua fanta Orange. Alishawahi kuwafukuza baadhi ya wafuasi nyumbani kwake kwasababu walikua wanammalizia soda zake.
04: Akiwa mtoto Mdogo akimkosea mama yake alikua akipewa gazet la new york times alisome mbele ya mama yake.
05: licha ya Kua mwanafamilia nguli wa "west coat" chakushangaza ni kwamba tupac alizaliwa new york ambako ni east coast.
06: Alishawahi Kua na mahusiano ya malovedove na msanii MADONA.
Uhusiano huo ulivunjika kutokana tupac kudharaulika eti kwnn Madonna awe na mpenzi mweusi ambae ni tupac. Hivyo tupac akaona sio kesi akajikataa na kumuacha mzungu wa watu Madonna.
07: kwa mujibu wa gazeti la times, mahasimu wa tupac B.I.G na p.diddy walijua Kua tupac angekufa wiki moja kabla ya kifo chake. Madai hayo yalikanushwa na FBI. Meneja wa tupac SUGE KNIGHT nae pia alishawahi kuhusishwa na kifo cha msanii huyo nguli wa hiphop na muasisi wa kufunga vilemba kichwani.
08: Aliwahi kuandika wimbo wa dear mama akiwa jela. Mama yake nae alishawahi kufungwa jela .
09: kwenye wimbo wake wa me" and my girlfriend ", alichozungumzia ni bunduki yake na si mpenzi km inavyojulikana.
10: Alijaribu maisha ya jela kabla hajazaliwa kwn mama yake alifungwa jela akiwa na ujauzito wa 2pac. Alifungwa kw kosa la ulipuaji wa mabom na makosa mengine ya jinai......
Mwisho.........
.![]()
Ataruhusu tu mimi mwanae wa kufikiaakiniruhusu lakini
Madame S
Yes my lovely shem!Shemela
Usicheke shem wane