Makapuku Forum

Makapuku Forum

7001583eecde3aedf46bea95e7b72b74.jpg
Hii ikiwekwa bongo itafilisika maana watu wanaweza kutoka hadi mikoani
 
Ikulu ya Marekani yathibitisha kuwa Rais Donald Trump alifanya mazungumzo ya ya siri na Rais Vladmir Putin wa Urusi, wakati wa mkutano wa viongozi wa nchi zilizoendelea Kiuchumi-G20.

Viongozi wa Kiislamu nchini Uingereza wameonya kuwa mashambulizi ya chuki yanayofanywa dhidi ya Uislamu yamekuwa yakiongezeka.

Serikali ya Uganda kupitia wizara ya afya, inakusudia kuanzisha kifaa kinachomruhusu mtu kujipima virusi vyinavyosababisha UKIMWI.
Asante kwa hadithi, UF na dondoo za BBC
 
Ni matumaini yangu kuwa wote hamjambo na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku.
Karibuni kwenye Leo katika historia ambayo italetwa nami Jimena Jimenes JJ kwa udhamini wa Marekani na vikwazo vipya huko Iran
Karibuni sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom