Makapuku Forum

Makapuku Forum

Pilipili hii aina ya 'Aji Charapita' inayopatikana nchini Peru ndiyo pilipili inayouzwa kwa gharama kubwa kuliko zote duniani, kilo moja ya pilipili hizi ni dola 25,000 sawa na shilingi milioni 54 za kitanzania. [HASHTAG]#EATV[/HASHTAG]

Wana nichangieni nikanunue pili pili [emoji16][emoji16][emoji16]
dc39aea910d531427ee516d8fa213e63.jpg
 
Achana nae na kwa taarifa yake bhinamu ujio wa shedede na macbook jumlisha na ungenge bhasi husna namuona sumbawanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ma nig are you going crazy?

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Back
Top Bottom